Kilichozungumziwa kwenye mada, ni dini ikiwemo na uislamu , wewe unaleta habari za ukristo unaona akili zako?🚮Misaada ya zamani ya wazungu,siku hizi hawaamini ukristo misaada imekoma, ndiyo mnakamuliwa kweli kweli kupitia sadaka zilizopewa majina tofauti
Hata hivyo zinaonekana hazitoshi kugharamia tabia za ulevi na starehe
Sasa dizaini mpemba kabana sehemu basi makelele miksa maandamano
Mimi kwa maoni yangu binafsi dini hazina mchango wowote zaidi ya kuongeza, kundi kubwa la umaskini na kuleta ubaguzi na chuki kwenye jamii??Najaribu kuangalia umuhimu wa hizi dini ni upi mpaka sasa.?
ukiachana na kujilimbikizia mali na kula sadaka za wahumini je upi mchango wa dini?.
Kwani wapi wanatoa mchango bila kupiga hela?Bahati mbaya sitokei kijijini,lakini hata hivyo hapo mangi anakua kapiga hela
Mtoa mada kamlenga kitima na wenzake, maana ndiyo wanaleta timbewiliKilichozungumziwa kwenye mada, ni dini ikiwemo na uislamu , wewe unaleta habari za ukristo unaona akili zako?🚮
Hivi humu najadili na watu wenye akili timamu kweli au wagonjwa wa mirembe🤔Mtoa mada kamlenga kitima na wenzake, maana ndiyo wanaleta timbewili
By the way, uislam uliwafanya wamanyema waache kula nyama za watu na wanyamwezi wasiue watu ovyo
Waislam kwa kuchimba visima na kugawa maji bure,walioharibikiwa safari kulala misikitini bure,kuhudumia yatima,kusaidia wagonjwa vyakula,dawa,sabuniKwani wapi wanatoa mchango bila kupiga hela?
Inategemea na wapi umesimama bro, maana wengine Ile oktoba mnaona risasi za polisi tu na wengine wanaona wahalifu tu, inategemea nini unaaminiHivi humu najadili na watu wenye akili timamu kweli au wagonjwa wa mirembe🤔
Tuishie hapa tuWaislam kwa kuchimba visima na kugawa maji bure,walioharibikiwa safari kulala misikitini bure,kuhudumia yatima,kusaidia wagonjwa vyakula,dawa,sabuni
Duuh Mmefikia uku machawa Ccm na akili za bata? Dini Ina hasara zake chache lakini Bado haiondoi ukweli Ina mchango Mkubwa kijamii kama ilivyoainishwa na baadhi ya wachangiaji hapo juu, Hata viongozi wenu Ccm kama Mwl Nyerere,Mkapa,Kikwete nk ni zao la shule za dini/missionari...shule ya kitima iko wap
hilo nalijua kabisa na nmemtarget uyo jamaa mmoja, ila inaeleweka sana services zao ni nyingiDuuh Mmefikia uku machawa Ccm na akili za bata? Dini Ina hasara zake chache lakini Bado haiondoi ukweli Ina mchango Mkubwa kijamii kama ilivyoainishwa na baadhi ya wachangiaji hapo juu, Hata viongozi wenu Ccm kama Mwl Nyerere,Mkapa,Kikwete nk ni zao la shule za dini/missionari...
Lakini umesahau kuulizia shule ya Mtume Mwamposa, ya bakwata na hospitali zao au wenyewe hawachukui sadaka za kujimaliza🤣🤣??
Vp na wewe Unalipa Kodi serikalini, Hospitalini unalipia pia huduma hata kama una bima afya Kuna namna umeilipia na pia haigharamii magonjwa yote, pia umeme tanesko unaulipia kwanini serikali isikupe Bure ulishalipa Kodi mbalimbali Kwa serikali??...hajui kuwa hizo ni biashara kama biashara za MO au GSM ni for profit gain
So wewe una bifu lako binafsi na huyo Padri huna Hoja sio?..hilo nalijua kabisa na nmemtarget uyo jamaa mmoja, ila inaeleweka sana services zao ni nyingi
Hopeless kabisa wewe. Sisi kutoa sadaka kwa ajili ya kulitegemeza Kanisa inakuuma! Halafu huyo kilaza wako amebana nini sasa kwa mfano! Nongwa kuambiwa muache kukandamiza haki za raia!! Wajinga wakubwa nyinyi.Misaada ya zamani ya wazungu,siku hizi hawaamini ukristo misaada imekoma, ndiyo mnakamuliwa kweli kweli kupitia sadaka zilizopewa majina tofauti
Hata hivyo zinaonekana hazitoshi kugharamia tabia za ulevi na starehe
Sasa dizaini mpemba kabana sehemu basi makelele miksa maandamano
Mwaka huu utapasuka nyongoHopeless kabisa wewe. Sisi kutoa sadaka kwa ajili ya kulitegemeza Kanisa inakuuma! Halafu huyo kilaza wako amebana nini sasa kwa mfano! Nongwa kuambiwa muache kukandamiza haki za raia!! Wajinga wakubwa nyinyi.
Zimejenga Mashule na Mahospitali na zingine zishaingia kabisa ubia na serikali...ila nchi yetu haiongozwi na DiniNajaribu kuangalia umuhimu wa hizi dini ni upi mpaka sasa.?
ukiachana na kujilimbikizia mali na kula sadaka za wahumini je upi mchango wa dini?.