pambe samanini
JF-Expert Member
- Oct 27, 2015
- 464
- 271
Mimi sijawahi kutibiwa bure au kusoma bure kwenye hizo taasisi zaoMaswali ya kidato Cha pili, Yani haujui mchango wa dini
Shule
Hospital
Na huduma nyingine za kijamii dini imetoa mchango mkubwa sana
Kweli wewe ni dr mapaka kabisa
Wapi ulitibiwa Bure?Mimi sijawahi kutibiwa bure au kusoma bure kwenye hizo taasisi zao
Kwingine hakupo kidini lazima nilipie..Kwa hiyo hapo dini inapiga biashara tena taasisi zao zina gharama balaaWapi ulitibiwa Bure?
Alie kuambia kuwa kidini ni kutoa Bure ni nani? Unataka Huduma Bora kwa gharama za chini?Kwingine hakupo kidini lazima nilipie..Kwa hiyo hapo dini inapiga biashara tena taasisi zao zina gharama balaa
Kwani Kitima ni dini?shule ya kitima iko wap
Dini zimesaidia sana watu kuwa wastaarabu, pia dhehebu kama Catholic wamejengaNajaribu kuangalia umuhimu wa hizi dini ni upi mpaka sasa.?
ukiachana na kujilimbikizia mali na kula sadaka za wahumini je upi mchango wa dini?.
Unajisumbua kuwaelimisha hawa goigoiDini zimesaidia sana watu kuwa wastaarabu, pia dhehebu kama Catholic wamejenga
- Shule nyingi
- Hospitali nyingi
- Vyuo vikuu
- Barabara
- Usambazaji wa maji na umeme, maeneo kama Ndanda
- Viwanda kama vilivyojengwa na wakatoliki wa St Benedictine, Ndanda
- Wakatoliki kila mwaka hukusanya hela, na hutumia hela hizo kila mwaka kama charity kwa watu masikini
Dini mfano Ukristo(Catholic) zina faida nyingi sana hapa Tanzania, ingawa ni kweli kuna dini hazina faida, zipo ambazo zinahamasisha zaidi kubaguana badala ya kuleta maendeleo kama wanavyofanya Catholic
Tanzania inahitaji sana uwekezaji. Ni faida kwa wananchi wanaweza kuoata huduma na pia kwa serikali inapata mapatoshule na zahanati au hosptali wanatoa huduma bure ??
hao wanafanya uwekezaji for profit gain huo hauwezi kuita mchango chany.
Unaelewa faida za uwekezaji? Wewe si umeuliza faida za dini Tanzania? Shule na hospitali ni uwekezaji na wanaowekeza lazima watafute hela ili kuendesha shughuli zao bila kutegemea CCMhajui tu , uwezo wa kuchanganua mambo umefika mwisho .
hajui hizo ni project za kupiga hela and nothing else.
Kwani biashara za Mo na GSM hazina faida Tanzania?hajui kuwa hizo ni biashara kama biashara za MO au GSM ni for profit gain
Hivyo hata Catholic wanafanya, na wakatoliki wameenda mbali zaidi wanafanya hadi uwekezaji TanzaniaWaislam kwa kuchimba visima na kugawa maji bure,walioharibikiwa safari kulala misikitini bure,kuhudumia yatima,kusaidia wagonjwa vyakula,dawa,sabuni
Niambie, na kwa serikali ya CCM ni wapi umepata huduma bure ukitoa primary schools na ordinary secondary schools? Taja huduma yoyote ambayo serikali inatoa bure kwa wananchi wakeMimi sijawahi kutibiwa bure au kusoma bure kwenye hizo taasisi zao
Kweli, wengi wao wana reasoning ya kidato cha pili. Wanajaribu kuponda mchango wa Catholic Tanzania eti ili kumfurahisha Samia ambaye hata yeye taasisi za Kikatoliki amezikuta na ataziachaUnajisumbua kuwaelimisha hawa goigoi
Hiyo tu ya secondary schools inatosha ....unajua watanzania wangapi wameelimika kutokana na hiyo elimu ya bure? Unadhani hizo shule zimeandikwa st. Unaweza kumpeleka mwanao kama hohe hahe?Niambie, na kwa serikali ya CCM ni wapi umepata huduma bure ukitoa primary schools na ordinary secondary schools? Taja huduma yoyote ambayo serikali inatoa bure kwa wananchi wake
Kwa hiyo nikujibu Kwa akili kubwa kwani wewe unazo? Nakujibu kutokana na uwezo wakoAlie kuambia kuwa kidini ni kutoa Bure ni nani? Unataka Huduma Bora kwa gharama za chini?
Haujui kuwa serikali yako imeingia ubia na taasisi za kidini ili kutoka mchango kwenye jamii?
Hivi kwanza una akili timamu kweli wewe
Kaa ignore KIAZI weweKwa hiyo nikujibu Kwa akili kubwa kwani wewe unazo? Nakujibu kutokana na uwezo wako
Unatefyengwa na Kitima weweKaa ignore KIAZI wewe
Serikali inapata kodi nyingi inaweza kutoa elimu bure sekondari na primary. Wakatoliki unataka wapate wapi helaHiyo tu ya secondary schools inatosha ....unajua watanzania wangapi wameelimika kutokana na hiyo elimu ya bure? Unadhani hizo shule zimeandikwa st. Unaweza kumpeleka mwanao kama hohe hahe?
tena walitakiwa wamwagiwe mifuqa ya nguruwe na surulu la mkojo kabisa, shenzi zaoHivi walipewa mnyama?