Dini zingesambazwa kama ambavyo Atheism inasambaa sidhani kama zingekuwa na wafuasi wengi hivi

Kwako wewe mtu atayemuita Muhammed hana akili litakuwa ni tusi kubwa litakalo kuuma sana, kuliko yule mtu atayemuita Muhammed shoga kwasababu tu watu wamekuwa wakitetea ushoga na kufanua jambo lionekane la kawaida ila hakuna anayekubali kuambiwa hana akili?
Ndio nimekwambia kwamba Atheists wamekuwa wakimkebei na kumtukana Mungu kitu ambacho wanajua kinawaudhi waaamini Mungu kuliko wao waumini kutukanwa wao wenyewe, unakuta atheist anaandika "mnyazi mungu" badala ya Mwenyezi Mungu na anafanya hivyo ili kutuudhi. Hayo ni mambo ambayo tushazoea Nyie kufanya na ndio sehemu ya mijadala yenu yani huwezi kujadiliana na atheist bila kuongea hivyo kwa waumini wa dini kwa sababu mnaamini nyie mnaakili sana na sie wengine wote hatuna akili.
 
Mnyazi Mungu ni neno ambalo nimekuwa nikiliona sana kwenye mijadala inayo wakutanisha kati ya waislamu na wakristo.

Wakristo ndio wamekuwa wakikuita hivyo na nyie mmekuwa mkiwaita makafiri mara wagalatia ni maneno ambayo yamekuwa kama tusi kwao.

Lakini maneno hayo yote hayafikii uzito wa kuitwa shoga

Na hata sisi Atheists tunaitwa makafiri. Na hatupendi ila reaction zetu wengine ni tofauti na ukituita mashoga.

Tafsiri ya neno huna akili linaweza likawa na maana nzuri tu ambayo sio tusi.

Ukiwa shuleni ukapewa maandishi halafu ukashindwa kusoma utaambiwa huna akili.

Sasa mwingine anaweza kuchukua kauli hiyo kufanya reference katika maeneo mengine nje ya shule.

Akasoma stori nzima ya mtume na mwisho akaja kusema Muhammed hakuwa na akili kwasababu hakujua kusoma wala kuandika.

Sasa hapo utasema kuna tusi?

Ndio maana hujanipa jibu mpaka sasa kwanini Muhammed akiitwa hana akili iwe ni kauli ambayo itakuudhi sana kuliko kauli ya Muhammed kuitwa shoga, kwa kigezo cha kwamba watu wamekuwa wakitetea ushoga
 
Ukisema "most" maana yake unasema asilimia kubwa

Kwa tafsiri hiyo unakuwa unakubali kuwa asilimia zilizizobaki zipo kwenye jamii yenu ya watu wa dini.

And I can agree with you on that, we have plenty evidence of gays imam
Research shows that those ticking ‘Christian’ are frequently not religious in their beliefs or practice- In general, those who tick ‘Christian’ do so because they were christened, because their parents are/were Christian, or because they went to a Christian school.

hii ni sehemu ya andiko langu hapo juu-Unakisoma utagundua kuwa wengi katika mashoga waliacha dini kutokana na walivyokuwa treated katika hizo dini.
 
Mnyazi Mungu ni neno ambalo nimekuwa nikiliona sana kwenye mijadala inayo wakutanisha kati ya waislamu na wakristo.

Wakristo ndio wamekuwa wakikuita hivyo na nyie mmekuwa mkiwaita makafiri mara wagalatia ni maneno ambayo yamekuwa kama tusi kwao.

Lakini maneno hayo yote hayafikii uzito wa kuitwa shoga

Na hata sisi Atheists tunaitwa makafiri. Na hatupendi ila reaction zetu wengine ni tofauti na ukituita mashoga.

Tafsiri ya neno huna akili linaweza likawa na maana nzuri tu ambayo sio tusi.

Ukiwa shuleni ukapewa maandishi halafu ukashindwa kusoma utaambiwa huna akili.

Sasa mwingine anaweza kuchukua kauli hiyo kufanya reference katika maeneo mengine nje ya shule.

Akasoma stori nzima ya mtume na mwisho akaja kusema Muhammed hakuwa na akili kwasababu hakujua kusoma wala kuandika.

Sasa hapo utasema kuna tusi?

Ndio maana hujanipa jibu mpaka sasa kwanini Muhammed akiitwa hana akili iwe ni kauli ambayo itakuudhi sana kuliko kauli ya Muhammed kuitwa shoga, kwa kigezo cha kwamba watu wamekuwa wakitetea ushoga
Kuna niliposema kuhusu Muhammad kuitwa hana akili au nimesema atheists huwa wanaita wenye kuamini Mungu hawana akili? Halafu nilichokisema ni kwamba wapo watu ambao wanatetea ushoga hata humu wapo hivyo watu kama hao kuwaita mashoga si issue kwao maana mashoga kwa upande wao ni watu kama watu wengine ambao wana haki kama watu wengine ila hakuna watu ambao hukubali kuitwa hawana akili kisa kuamini tu uwepo wa Mungu. Chengine nachosema ni kwamba kama wewe umechukizwa kuitwa shoga kwa kuona umetukanwa basi atheists ndio watukanaji wazuri wenye kumtukana hadi Mungu kitu ambacho ni kibaya zaidi kwa muamini Mungu kuliko kitu chochote.
 
Research shows that those ticking ‘Christian’ are frequently not religious in their beliefs or practice- In general, those who tick ‘Christian’ do so because they were christened, because their parents are/were Christian, or because they went to a Christian school.

hii ni sehemu ya andiko langu hapo juu-Unakisoma utagundua kuwa wengi katika mashoga waliacha dini kutokana na walivyokuwa treated katika hizo dini.
Mbona unachokiandika hakifanani na link ukiyoweka?

Link inaelezea research iliyofanywa na taasisi ya Dawkin kwenye takwimu za sensa

Dawkin anaeleza kuwa asilimia kubwa ya wananchi walioweka tick sehemu ya dini, wengi hawana dini.

Sasa hii inahusiana vipi na madai yako ya ushoga?
 
Sasa usichoelewa hapo nn, katika hao mashoga wachache ambazo wamejinasibisha na dini, wengi si wenye kupractice, wamejiita tu christians but matendo Yao ni ya kiatheist.
 
Unaweza kunionesha mahali penye hayo maelezo kutoka kwenye hiyo site?
 
Okay nimeona

Ila hii ni link nyingine tofauti na ile ambayo uliiweka mwanzo.

Kitu kingine ambacho unachanganya ni kwamba mtu kutokuwa na dini haimfanyi awe Atheist.

Atheist ni mtu ambaye hana dini ila sio kila asiyekuwa na dini ni Atheist.

Kuna watu wengi hawana dini kwasababu tu ya kutokubaliana na mafundisho ya dini zao lakini wanaamini kwenye Mungu, Shetani, Mizimu, Majini, Uchawi nk.

Na hata humu JF wapo wengi tu
 
Ukiamua kuwa muumuni wa critical thinking huwezi kuwa mtumwa wa dini, and vice versa is true

Dini is one of a quest for the purpose of life,..kama unaishi bila ya kufikiria lengo la wewe kuishi,..utakuaje Critical Thinker?!

Dini ni matokeo ya watu Kujiuliza:-
Tunatoka wapi?
Kwa nini tuko hapa?
Kusudi letu ni nini?
Tunapaswa kuishije maisha yetu?.....& that's a critical thinking!
 
Inasmbazwa,ipo kwenye new world order pamoja na ushoga,inasmbazwa kupitia nadharia za kisayansi,ukishasimama kusema hakuna Mungu vitu vyote vimetokea kwa mlipuko tu,hapo unahubiri atheism hata Kama huna msikiti Wala kanisa
Bullshit ...
 
Kilichotokea Kawa changanya lugha hivo mission nikawa aborted Nani mwingine anaweza kuwapa lugha watu kwa muda mchache hivo, Hilo kwa wewe ndo usibithisho Mungu yupo
Kwa hiyo mkubwa

Hapo kabla ya kujenga mnara watu waliokuwepo waliwasiliana kwa lugha moja?

Nikuongezee na hili

Hizi rangi tofauti za miili yetu zilisababishwa na nini?
 
Back
Top Bottom