Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Uzi haukuwa na maelezo yanayomhusu mtume.Mkuu hiki tunachojadili sioni kuwa na mchango katika huu uzi.
Ila tumefika hapa kwasababu ya watu wa dini ambao walikuwa wanatoa kashfa hasi kwa ku generalize Atheists wote.
Kusema Atheists ni mashoga ni kashfa mbaya.
Na mimi nilichokifanya sikutaka nijibu kwa kashfa bali nitoe nukuu za ushahidi wa hadithi za kiislamu kuelezea stori za mtume ambazo hazipo sawa kimaadili.
Hizo ni nukuu sio maoni yangu
Nilitaka muone na nyinyi ni jinsi gani inavyokuwa kuitwa shoga.