Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Nimeeleza mengi kuhusu mtume je yapi kati ya hayo wameyakataa?Uliyoyaeleza kuhusu mtume ndio waislamu humu wameyakataa kuwa sio iwe kwa kutafsiri kinyume hadithi au hadithi dhaifu na ndio maana hata huyo jamaa mnabishana hapo.
Kwasababu kama umefutailia utaona muislamu mwenzako akija na utetezi wa muislamu kutoka kwenye forums za nje akitetea hizo hadithi kwa madai kuwa kile kitendo hakikuwa na ishara ya ushoga.
Hayo ni maelezo ambayo ameonesha kuyakubali na kuamua kuyaleta hapa ili kuyatumia kama defense.
Ni maelezo ambayo hayapingi uhalali wa hiyo hadithi. Bali yanakanusha tafsiri za watu kuwa ni potofu juu ya kitendo cha mtume wenu kumnyonya ndimi mtoto wa kiume kuwa jambo hilo halina uhusiano wowote na ushoga.
So nakuuliza na wewe, msimamo wako ni upi?
Ni kwamba unakubali kuwa hiyo hadithi ni ya ukweli ila tu kuhusu stori ndio haikuwa na maana ambayo mimi naiwasilisha kama ushoga?
Au unapinga kuwa hiyo hadithi sio ya ukweli na wala haitambuliki kwenye Uislamu?
Na wakati huo unapojaribu ku declare msimamo wako, ukumbuke muislamu mwenzako kanionesha namna ya kupima hadithi katika grade
Na hizo hadithi zipo katika grade ya Hasan ambapo kwa mujibu wa chanzo chake kimefafanua kuwa Hasan ni hadithi ambazo zinapaswa kutumiwa kama ushahidi.