Dini zingesambazwa kama ambavyo Atheism inasambaa sidhani kama zingekuwa na wafuasi wengi hivi

Mkuu hiki tunachojadili sioni kuwa na mchango katika huu uzi.
Uzi haukuwa na maelezo yanayomhusu mtume.

Ila tumefika hapa kwasababu ya watu wa dini ambao walikuwa wanatoa kashfa hasi kwa ku generalize Atheists wote.

Kusema Atheists ni mashoga ni kashfa mbaya.

Na mimi nilichokifanya sikutaka nijibu kwa kashfa bali nitoe nukuu za ushahidi wa hadithi za kiislamu kuelezea stori za mtume ambazo hazipo sawa kimaadili.

Hizo ni nukuu sio maoni yangu

Nilitaka muone na nyinyi ni jinsi gani inavyokuwa kuitwa shoga.
 
Kinachoendelea ni ubishani kuhusu mambo ya hadithi hali inayofanya mada kubadilika kabisa.
 
uislam umeenezwa kwa kumwaga damu.
Wapi waislamu wamepigana vita kwa kuanzisha wao...Kumbuka uislamu ulikuwepo hata Mussa alipigwa vita ,Issah(S.A) alitaka kuuliwa kabisa....Muhamad alipigwa mawe mpaka kutona meno ya mbele.

Kama ingekuwa umeanza kwa upanda walikuta jamii za washirikina wakiwa na dini zao haswa watawala...Rejea Farao kwa Mussa
 
Kinachoendelea ni ubishani kuhusu mambo ya hadithi hali inayofanya mada kubadilika kabisa.
Na unajua kwanini wanabisha?

Unafikiri hadithi ingekuwa inaelezea jambo jema la mtume wangebisha?

Wanabisha kwasababu wanajua ni fedheha

Na ndio maana hata yule aliyesema haoni tatizo mtume kuingiza mdomo kwa mwanaume mwenzake,,,, bado hawezi kujibu kama yeye anaweza kufanya kitendo hicho na mwanaume mwenzake.
 
Tungeweza kujadili hivyo ila kama msingeleta kashfa za Atheists ni mashoga
Mkuu sijui umepanic nini kwa jambo kama hilo wakati atheists humu huwezi kujadiliana nao bila kukebehi na kukashifu dini na Mungu, ni kitu ambacho kimezoeleka. Atheists kuwadharau na kuwaona waumini wa dini kuwa hawana akili ni jambo la kawaida kwao ila wao atheists ndio wenye akili na elimu.
 
Kudharauliwa akili ni tofauti na kuambiwa shoga.

Ukali wa maneno ndio unaoleta ukakasi.
 
Na unajua kwanini wanabisha?

Unafikiri hadithi ingekuwa inaelezea jambo jema la mtume wangebisha?

Wanabisha kwasababu wanajua ni fedheha

Na ndio maana hata yule aliyesema haoni tatizo mtume kuingiza mdomo kwa mwanaume mwenzake,,,, bado hawezi kujibu kama yeye anaweza kufanya kitendo hicho na mwanaume mwenzake.
Ndio maana mwanzo nilikwambia kama kuna mambo ambayo sio mazuri yaliyofanywa na Mtume na waislamu wenyewe wanaona ni fedheha basi yangefichwa hayo mambo ili yasijulikane pengine wewe usingejua.
 
Kudharauliwa akili ni tofauti na kuambiwa shoga.

Ukali wa maneno ndio unaoleta ukakasi.
Kuomambiwa shoga wakati hamjuani si sawa na mtu kukwambia hauna akili kisa unaamini Mungu, na mbaya zaidi anaweza kumtukana hadi huyo Mungu si anajua unamuheshimu lazima utachukia tu. Lakini haya wewe mkuu kwa upande wako unayaona ya kawaida ila kuambiwa shoga kwa sababu umeambiwa wewe ndio unaona issue.
 
Wapi waislamu wamepigana vita kwa kuanzisha wao...Kumbuka uislamu ulikuwepo hata Mussa alipigwa vita ,Issah(S.A) alitaka kuuliwa kabisa....Muhamad alipigwa mawe mpaka kutona meno ya mbele.

Kama ingekuwa umeanza kwa upanda walikuta jamii za washirikina wakiwa na dini zao haswa watawala...Rejea Farao kwa Mussa
Uislamu umeanza na ujio wa Muhammad. Mwanamke wa kwanza kuwa muislamu ni Khadija na mwanaume wa kwanza ni Abu Bakr (ukimtoa mtume)

Hao kina Musa hawakuwa waislamu, mnavamia historia ya wayahudi.

Surah 9:29
Fight against those who do not believe in Allāh or in the Last Day and who do not consider unlawful what Allāh and His Messenger have made unlawful and who do not adopt the religion of truth [i.e., Islām] from those who were given the Scripture - [fight] until they give the jizyah1 willingly while they are humbled.

Wasio waislamu walitakiwa kulipa kodi la sivyo waislamu waliaswa kuwapiga vita utasema hapae dini ilisambazwa Kwa mpango wa mungu?
 
Ndio maana mwanzo nilikwambia kama kuna mambo ambayo sio mazuri yaliyofanywa na Mtume na waislamu wenyewe wanaona ni fedheha basi yangefichwa hayo mambo ili yasijulikane pengine wewe usingejua.
Unafikiri wenye mamlaka ya kuzuia watu wasiweze kusoma hizo hadithi ni wao hao wasiopenda watu wajue?

Unafikiri hizo stori zimewekwa na hao waislamu ambao wanapinga hizo stori?
 
Kuomambiwa shoga wakati hamjuani si sawa na mtu kukwambia hauna akili kisa unaamini Mungu, na mbaya zaidi anaweza kumtukana hadi huyo Mungu si anajua unamuheshimu lazima utachukia tu. Lakini haya wewe mkuu kwa upande wako unayaona ya kawaida ila kuambiwa shoga kwa sababu umeambiwa wewe ndio unaona issue.
Kuambiwa huna akili na kuitwa shoga uzito wa maneno haufanani
 
Unafikiri wenye mamlaka ya kuzuia watu wasiweze kusoma hizo hadithi ni wao hao wasiopenda watu wajue?

Unafikiri hizo stori zimewekwa na hao waislamu ambao wanapinga hizo stori?
Zimewekwa na nani?
 
Kuambiwa huna akili na kuitwa shoga uzito wa maneno haufanani
Huo ushoga wapo wenye kuutetea humu hivyo ukiwaita mashoga sio issue kwao ila hakuna anayekubali kuambiwa hana akili kisa ameamini uwepo wa Mungu na kuna muda mnamkejeli hadi huyo Mungu, ni dharau kiasi kikubwa kutoka kwenu kuwafanyia wenye kuamini Mungu.
 
Kwako wewe mtu atayemuita Muhammed hana akili litakuwa ni tusi kubwa litakalo kuuma sana, kuliko yule mtu atayemuita Muhammed shoga kwasababu tu watu wamekuwa wakitetea ushoga na kufanua jambo lionekane la kawaida ila hakuna anayekubali kuambiwa hana akili?
 
Back
Top Bottom