comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Yani eti inasambaa taarifa mtandaoni kua trump anataka kuwashughulikia boko haram ambalo ni jambo zuri kuwashughulikia magaidi lakini kuna waislam eti wanasema 'mbona alikua hawasaidii wakristo wa Palestinea! Eti 'muoga huyo anaogopa waislam
Watu wanaoua na kuchoma makanisa na kubaka watoto wakristo bado eti mnawapenda kwa sababu ni waislam.
Hawa wenzetu natamani sana kujua hua wanafundishwa nini wakienda kwenye hivyo wanavyoita vyuo vyao.