Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 7,547
- 11,831
Hao ni wapumbavu wachache wenye ngozi nyeusi wasioujua uislam. Uislam haujawahi kuunga mkono maasi na ugaidi kwahiyo hata hao wapumbavu wanaoua Wakristo huko Nigeria siyo Waislam (kwa kuzingatia misingi ya Uislam) so DT awashushie moto tu mpaka yabaki majivuYani eti inasambaa taarifa mtandaoni kua trump anataka kuwashughulikia boko haram ambalo ni jambo zuri kuwashughulikia magaidi lakini kuna waislam eti wanasema 'mbona alikua hawasaidii wakristo wa Palestinea! Eti 'muoga huyo anaogopa waislam
Watu wanaoua na kuchoma makanisa na kubaka watoto wakristo bado eti mnawapenda kwa sababu ni waislam.
Hawa wenzetu natamani sana kujua hua wanafundishwaga ni wakienda kwenye hivyo wanavyoita vyuo vyao.