Mm kila siku waaga nawambiaga watu kama ukristo ungekua unaishi jino kwa jino dunia isingekalika wakristo wakristo wanauawa kila kukicha wanaishi kwa mateso kwenye nchi zenye waislamu wengi angalia kama nigeria somalia sudani ila waislam hawajahi kupata kashikashi wanaish vzuri tu kwenye nchi zenye wakristo wengi na waktibuana wao kwa wao wanakimbilia kwa wakristo na huko wanaenda kuanzisha vuruguWapo wenye chuki, kama wewe hujawahi kuwaona Mimi nimewaona.
Pia wapo Waislamu wanao chukia wakristo, wote wanafanya makosa kwani hatupaswi kuchukiana Kwa sababu za kidini.