comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Tayari wananchi mmejazwa chuki za kidini ambazo hazijengi.Tatizo IQ ndogo halafu wana elimu za madrasa tu
hapo ccm imeingiajeTayari wananchi mmejazwa chuki za kidini ambazo wanufaika wakuu ni Ccm.
Waislamu wapo international tu?hapo ccm imeingiaje
hapa tunaongelea international issue tena terrorist we unaanza kuongea habari ya ccm ama uko n hangover?
I'm talking about realityWaislamu wapo international tu?
Unavyosema Wana IQ ndogo unamaanisha Nini kama sio wote?
Punguza chuki za kidini, ni ulimbukeni na hazijengi.
I’m also talking about reality, religious hatred is a sign of ignorance.I'm talking about reality
Hio dini imewaharibu akili sana
sasa wewe endelea kukumbatia hio dini ya mwarabu sawa?I’m also talking about reality, religious hatred is a sign of ignorance.
Nani amekuambia Mimi ni Muislam?sasa wewe endelea kukumbatia hio dini ya mwarabu sawa?
sawa,na anachuki?Nani amekuambia Mimi ni Muislam?
Mimi Sina chuki za kijinga Kwa ndugu zangu.
Halafu wewe uko busy kutetea lile shetani Samia, huna akili usitupotezee mudaYani eti inasambaa taarifa mtandaoni kua trump anataka kuwashughulikia boko haram ambalo ni jambo zuri kuwashughulikia magaidi lakini kuna waislam eti wanasema 'mbona alikua hawasaidii wakristo wa Palestinea! Eti 'muoga huyo anaogopa waislam
Watu wanaoua na kuchoma makanisa na kubaka watoto wakristo bado eti mnawapenda kwa sababu ni waislam.
Hawa wenzetu natamani sana kujua hua wanafundishwaga ni wakienda kwenye hivyo wanavyoita vyuo vyao.
Wapo wenye chuki, mfano wewe Mr Red blacksawa,na anachuki?
Siyo kweli. Ulishasikia hao "waislamu wote" wakilaani hayo makosa yanayofanywa na hao waislamu wachache? Unafikiri ni kwa nini?Makosa ya Waislamu wachache sio kigezo Cha kuchukia Waislamu wote...
Hakuna anayewachukia waislam, tunashangaa vioja vyao.Makosa ya Waislamu wachache sio kigezo Cha kuchukia Waislamu wote...
Tupunguze chuki za kidini, hazijengi zaidi ya kubomoa.
Wapo wenye chuki, kama wewe hujawahi kuwaona Mimi nimewaona.Hakuna anayewachukia waislam, tunashangaa vioja vyao.