Dini zote zimeletwa tu, lakini ya hawa wenzetu sijui imeletwa vipi?

Wapo wenye chuki, kama wewe hujawahi kuwaona Mimi nimewaona.

Pia wapo Waislamu wanao chukia wakristo, wote wanafanya makosa kwani hatupaswi kuchukiana Kwa sababu za kidini.
Mm kila siku waaga nawambiaga watu kama ukristo ungekua unaishi jino kwa jino dunia isingekalika wakristo wakristo wanauawa kila kukicha wanaishi kwa mateso kwenye nchi zenye waislamu wengi angalia kama nigeria somalia sudani ila waislam hawajahi kupata kashikashi wanaish vzuri tu kwenye nchi zenye wakristo wengi na waktibuana wao kwa wao wanakimbilia kwa wakristo na huko wanaenda kuanzisha vurugu
 
Uliona nchi ilivyo shikwa na magifuli ilivyo tembea mbele , yaani hii nchi wanao irudisha nyuma huwa ni marais wa kiislam awamu zao zote nchi huwa inakumbwa na changamoto za kiuchumi na ufisadi,wizi wa mal8 za umma na mambo ua hovyo hovyo mengi sana naimani hii jchi 8kishikiliwa na wakristo miaka 30 mfululizo aisee tutakuwa mbali sana hawa wavaa vijor warikisa makali hawa wanatufelisha sana
 
Makosa ya Waislamu wachache sio kigezo Cha kuchukia Waislamu wote...

Tupunguze chuki za kidini, hazijengi zaidi ya kubomoa.
Mm hao wa zungu toka walipo muua gadafi nawachukia sana,ukiona wana tumia nguvu sana jua wana lenga masilahi Yao tu, gadafi hakua nabhatia kabisa wali tuamnisha ujinga.
 
Ukiwa mislam jua una mental illness,hao jamaa majini yanawakontrol sio wao ni roho za kishetani.
 
Nini kinaendelea huko?
 
Mm hao wa zungu toka walipo muua gadafi nawachukia sana,ukiona wana tumia nguvu sana jua wana lenga masilahi Yao tu, gadafi hakua nabhatia kabisa wali tuamnisha ujinga.
Gadafi alikuwa muuaji mbaya sana, bahati mbaya aliwabraish washi wajinga wajinga kama nyingi msiotaka taarifa ka alivyokuwa amefanya jpm enzi zake
 
hapo ccm imeingiaje
hapa tunaongelea international issue tena ya terrorist we unaanza kuongea habari ya ccm ama uko n hangover?
Kaka watu hata kifungua kinywa hawapati ! Kufikiri hawezi kuwa sawa sawa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…