Jisikilize wewe. Unataka nini?Umemaliza kusoma diploma ya clinical medicine miaka walau mitatu iliyopita. Ukapiga kazi ukiwa na ndoto ya kuongeza elimu. Ila serikali wakarudisha advanced diploma of clinical medicine (AMO). Je, utachagua kwenda kusoma MD 5 years au AMO 2 years!?
Na ukijaribu kufuatilia maslahi unaambiwa AMO na MD wanapishana asilimia ndogo sana ya mshahara isiyozidi 25%.
Je, kimaslahi utaongeza kiwango gani cha elimu kutoka hapo!?
Ni sahihi mkuu ila muda mwingine inatokea conflict of interest kulingana na mvuto wa kimaslahi.Jisikilize wewe. Unataka nini?
Yes uko sahihi mkuu. Ukipiga difference ya kwenda kusoma MD then uje ukatwe kausha damu yao kama ulichukua mkopo it's almost unarudi mule mule tu maana pia na makato ya PAYE yanaongezeka.Kibongo bongo kuongeza kiwango cha pesa kwa kusoma bora hata ufuge tu kuku, binafsi hapo nitasoma MD tu , kama ndoto yangu tu na sio kuongeza kipato
AMO haipo niwdays ni Kusoma MD pekee au ukomee CO sema kada ya Afya imekaa kitapeli sana hiiUmemaliza kusoma diploma ya clinical medicine miaka walau mitatu iliyopita. Ukapiga kazi ukiwa na ndoto ya kuongeza elimu. Ila serikali wakarudisha advanced diploma of clinical medicine (AMO). Je, utachagua kwenda kusoma MD 5 years au AMO 2 years!?
Na ukijaribu kufuatilia maslahi unaambiwa AMO na MD wanapishana asilimia ndogo sana ya mshahara isiyozidi 25%.
Je, kimaslahi utaongeza kiwango gani cha elimu kutoka hapo!?
AMO imerejeshwa mkuu. Na walitangaza mwaka jana september kuwa AMO imerejeshwa.AMO haipo niwdays ni Kusoma MD pekee au ukomee CO sema kada ya Afya imekaa kitapeli sana hii
Chuo kipi!? MKUUAMO imerejeshwa mkuu. Na walitangaza mwaka jana september kuwa AMO imerejeshwa.
Kilosa Health institute wanatoa. Na kuna vyuo viwili vya ziada pale pale Morogoro vinatoa. Lugalo nao wana mpango wa kuiweka mwaka huu kama sijakosea.Chuo kipi!? MKUU
Nitafanya utafiri nijiridhishe kwahilo MkuuKilosa Health institute wanatoa. Na kuna vyuo viwili vya ziada pale pale Morogoro vinatoa. Lugalo nao wana mpango wa kuiweka mwaka huu kama sijakosea.
Sasa bro. Ila mie nilitembelea hadi Kilosa na nikapewa hizo habari.Nitafanya utafiri nijiridhishe kwahilo Mkuu
Sawa sawa Mkuu WanguSasa bro. Ila mie nilitembelea hadi Kilosa na nikapewa hizo habari.
Elezea iyo DDSHivi vijana huwa hamuioni DDS
Doctor of Dental Surgery yaan miaka 6upo Class kusoma Afya ya kinywa na Meno tu watu wanaona MD nzuri zaidiElezea iyo DDS
Mkuu AMO haiwezi kurudi hata wakifanya vipi sheria ya mwaka 2023 ya medical practitioner hairuhusu labda kama ukienda kusoma nje..Kilosa Health institute wanatoa. Na kuna vyuo viwili vya ziada pale pale Morogoro vinatoa. Lugalo nao wana mpango wa kuiweka mwaka huu kama sijakosea.
Bro nikuletee ushahidi!?? Usipinge vitu kama haujafanya uchunguzi. Nikuletee vyuo na requirements zake!?Mkuu AMO haiwezi kurudi hata wakifanya vipi sheria ya mwaka 2023 ya medical practitioner hairuhusu labda kama ukienda kusoma nje..
na usiwadanganye watu hata kidogo hakuna chuo kimerejesha AMO