Diploma ya clinical medicine: md miaka 5 au amo miaka 2—utachagua ipi?

Bro nikuletee ushahidi!?? Usipinge vitu kama haujafanya uchunguzi. Nikuletee vyuo na requirements zake!?
AMO IMEREJESHWA MWAKA JANA SEPTEMBER BRO.
Kiongozi AMO haipo ilishakufa kibudu😄😄😄😄

Kimbia mbio kama kuna mtu amekudanganya kuwa mwakani kuna AMO.

KATAFUTE KITU KINGINE UJIENDELEZE HAKUNA SHORTCUT UKITAKA KUA DAKTARI FATA UTARATIBU.NENDA SHULE MIAKA 5 ACHA JANJAJANJA.

KAZA FUVU LIPASUKE 😄
 
Una ubishi wa kitoto sana. Nenda TTCHI college AMO ipo. Nenda Lugalo pia ipo. Nimekuuliza nikurushie ushahidi hapa na requirements zake!?? Acha ubishi wa KIPUUZI BRO. Kwahiyo mie niliyeenda Lugalo na kuulizia ni MPUMBAVU!? Kwahiyo mie niliyeenda TTCHI college kuulizia ni MPUMBAVU!? Kwahiyo hivyo vyuo kunijibu ipo imerudi tangu 2025 september ni wapumbavu!??
Acha ujinga kaka jielewe.
 
Una ubishi wa kitoto sana. Nenda TTHSI college AMO ipo. Nenda Lugalo pia ipo. Nimekuuliza nikurushie ushahidi hapa na requirements zake!?? Acha ubishi wa KIPUUZI BRO. Kwahiyo mie niliyeenda Lugalo na kuulizia ni MPUMBAVU!? Kwahiyo mie niliyeenda TTHSI college kuulizia ni MPUMBAVU!? Kwahiyo hivyo vyuo kunijibu ipo imerudi tangu 2025 september ni wapumbavu!??
Acha ujinga kaka jielewe.
Acha ujinga kama unataka kuwa daktari apply ukasome MD toa upumbavu wako hapa.

Yaani mimi niende kwenye hivyo vicollage ushenzi nikaulizie upumbavu.Wewe hivi hata akali za kuvukia barabara unazo kweli,Bloody wahedi!!!

Hivi nyie ndio aina ya wapumbavu mmekabidhiwa hatma ya afya zetu kweli???

Nyie ndio wapumbavu mliojaa Tanzania mnaubishi wakijinga yaani unabisha kitu kilicho wazi mpumbavu kabisa.

Ngoja nikuignoo kichwa panzi ndio maana ulifeli ukaishia kusoma CO na sasa unatapatapa yote hii inasababishwa na kukosa akili.
 
We **** WEWE !? ULIALIKWA HAPA!?
NANI ALIYEKUTUMA UJE UCHANGIE!? HAUKUITWA HAPA ULIKUJA KUCHANGIA KWA SHOBO ZAKO.
WE UNAJUA MARKS ZANGU AU UNAROPOKA TU!? MJADALA NAONA UMEKUSHINDA KAA PEMBENI MSENGE WEWE. Hapa umeombwa ushauri kama ungekua nao ungetoa sio kulazimisha mawazo. Umesema AMO haipo nimekwambia ipo unarudi unaanza kunitusi. Wanakukojolea nini wewe!?
 
Kasome 2yrs, convert the 3 yrs into investments za biashara zako, ukikaa sawa achana na ajira yao fanya yako
Shukran mkuu nilikua nahitaji ushauri wa watu kama nyie. Linakuja lipumbavu linalazimisha mawazo aisee.
 
Una ubishi wa kitoto sana. Nenda TTCHI college AMO ipo. Nenda Lugalo pia ipo. Nimekuuliza nikurushie ushahidi hapa na requirements zake!?? Acha ubishi wa KIPUUZI BRO. Kwahiyo mie niliyeenda Lugalo na kuulizia ni MPUMBAVU!? Kwahiyo mie niliyeenda TTCHI college kuulizia ni MPUMBAVU!? Kwahiyo hivyo vyuo kunijibu ipo imerudi tangu 2025 september ni wapumbavu!??
Acha ujinga kaka jielewe.
Habari khaibar!
natamani kama ungekuwa unajibu kwa hoja bila kutukana ungeeleweka kabisa ,napenda kukuambia kuwa huenda vyuo ulivyoonde wamekudanganya...
kwanini?
kwanza Hakuna chuo kinaitwa TTCHI ...
chuo kilichokuwa kinatoa AMO morogoro kinaitwa Tanzanian Training Centre for International Health (TTCIH).

sasa why Kozi hii haipo! kila kozi inapoanzishwa au inaporudishwa kwanza lazima ifanyiwe curriculum reobserving na Vyama vya kitaaluma kwa Tanzania MCT inahusika moyo kwa moja . kukagua na kuona kama curriculum imekidhi vigezo vya kitaaluma na kuidhinisha iwepo na kusajili wahitimu kwa cheo maalumu
mpaka sasa AS MCT hakuna course iliyorudishwa kutoka Tanzania inayoitwa AMO unless kuna watu wanaoitwa AMO ambao ni wahitimu wa bachelor ya clinical medicine kutoka Nchi jirani na Tanzania'

so kama haujadanganywa utakuwa umetapeliwa
 
Mkuu nimeenda Lugalo pale Kawe Millitary college of health. Chuo wamenambia AMO imerudishwa tangu mwaka jana September. Chuo cha afya cha TTCIH na hapo nimekosea tu kuzipanga herufi ila chuo hiko kipo na Kilosa nilitembelea pia wamenipa jibu hilo hilo. Nilibahatika kusimamia mitihani ya NACTE mwaka huu nikauliza zaidi maana mnakutana wasimamizi tofauti na nikajibiwa AMO imerudi. Basi kaka huwenda LUGALO chuo cha jeshi matapeli.
 
We **** WEWE !? ULIALIKWA HAPA!?
NANI ALIYEKUTUMA UJE UCHANGIE!? HAUKUITWA HAPA ULIKUJA KUCHANGIA KWA SHOBO ZAKO.
WE UNAJUA MARKS ZANGU AU UNAROPOKA TU!? MJADALA NAONA UMEKUSHINDA KAA PEMBENI MSENGE WEWE.
Marks zako zipi wewe kiazi mbatata. kilaza wa mwisho huna maisha umelost umri umesonga huna chochote upo hapa unatafuta support ya kuudanganya ubongo wako wakati nafsi inafahamu kuwa hakuna uhalisia kwenye jambo unaloshupazia shingo.

We mjinga uko ulipo baki hukohuko AMO is nothing zaidi ya kuwa CO uliyechangamka.Mpumbavu wa mwisho yaani nyie mnabidi mtolewe hata huko kwenye vizahanati kwasababu kwa akili hii nyie mtakuwa mnawazidishia dozi wagonjwa.

Kwasababu ya Hopeless system ya Tz ndio inafanya wajinga kama wewe mnavaa makoti meupe.

Unaogopa kwenda kusoma MD kwasababu unajua huna uwezo wala akili za kuweza kutoboa miaka mitano😄😄😄
 
Bo
Marks zako zipi wewe kiazi mbatata, kilaza wa mwisho huna maisha umelost umri umesonga huna chochote upo hapa unatafuta support ya kuudanganya ubongo wako wakati nafsi inafahamu kuwa hakuna uhalisia kwenye jambo unaloshupazia shingo.

We mjinga uko ulipo baki hukohuko AMO is nothing zaidi ya kuwa CO uliyechangamka.Mpumbavu wa mwisho yaani nyie mnabidi myolewe hata huko kwenye vizahanati kwa akili hii nyie si mtakuwa mnawazidishia dozi wagonjwa.Kwasababu ya Hopless system ya Tz ndio inafanya wajinga kama wewe mnavaa makoti meupe.

Unaogopa kwenda kusoma MD kwasababu unajua huna uwezo wala akili za kuweza kutoboa miaka mitano😄😄😄
b sitaki shobo pita pembeni nilisha ku ignore. Sidhani kama ntakua naona post zako from now on.
 
Habari khaibar!
natamani kama ungekuwa unajibu kwa hoja bila kutukana ungeeleweka kabisa ,napenda kukuambia kuwa huenda vyuo ulivyoonde wamekudanganya...
kwanini?
kwanza Hakuna chuo kinaitwa TTCHI ...
chuo kilichokuwa kinatoa AMO morogoro kinaitwa Tanzanian Training Centre for International Health (TTCIH).

sasa why Kozi hii haipo! kila kozi inapoanzishwa au inaporudishwa kwanza lazima ifanyiwe curriculum reobserving na Vyama vya kitaaluma kwa Tanzania MCT inahusika moyo kwa moja . kukagua na kuona kama curriculum imekidhi vigezo vya kitaaluma na kuidhinisha iwepo na kusajili wahitimu kwa cheo maalumu
mpaka sasa AS MCT hakuna course iliyorudishwa kutoka Tanzania inayoitwa AMO unless kuna watu wanaoitwa AMO ambao ni wahitimu wa bachelor ya clinical medicine kutoka Nchi jirani na Tanzania'

so kama haujadanganywa utakuwa umetapeliwa
Dogo yupo kwenye denial😄😄😄

awahishwe mirembe ASAP!!!
 
Ila tukiachana na hilo wewe una ushauri gani kuhusiana na hilo swali ukitizama na maslahi binafsi ya mtu!??
 
Ukitaka Major development ya career yako soma MD kwa sababu inaupana mrefu mbele ya in future kubwa ila ukisoma AMO 'kama itarudi' utakuwa na narrow future sana kama Medical personel itakubidi urudi tena ulipo kukimbia yaani itakubidi urudi tena kusoma MD
 
Nitarudi kwa ushauri zaidi mkuu. Maana aisee vijana tunachotizama ni maslahi. Nitakurudia kwa maswali zaidi mkuu ila USINICHOKE. Maana sasa nina 32 nikifikiria kwenda MD kichwa kinapasuka. Huku familia tayari. Najaribu kudadavua zaidi mkuu kupata best options nakurejea kwa maswali zaidi usinichoke.
 
Acha ujinga kama unataka kuwa daktari apply ukasome MD toa upumbavu wako hapa.

Yaani mimi niende kwenye hivyo vicollage ushenzi nikaulizie upumbavu.Wewe hivi hata akali za kuvukia barabara unazo kweli,Bloody wahedi!!!

Hivi nyie ndio aina ya wapumbavu mmekabidhiwa hatma ya afya zetu kweli???

Nyie ndio wapumbavu mliojaa Tanzania mnaubishi wakijinga yaani unabisha kitu kilicho wazi mpumbavu kabisa.

Ngoja nikuignoo kichwa panzi ndio maana ulifeli ukaishia kusoma CO na sasa unatapatapa yote hii inasababishwa na kukosa akili.
Kaka hata kama kakukosea Msamehe tu, tupo humu kwaajili ya kujifunza nakuomba kwa namna ya kipekee sana msamehe tu Kaka angu lugha hizi ni kali sana
 
Bwana mdogo utakuwa hujui vizuri field ya MEDICINE.Ukiingia kazini hakuna cha zaidi huko ni kutumika mpaka ufe,Hiyo misifa na maujiko yote huwa yanabaki getini.

Acha kupoteza muda kasome physiotherapy ngazi ya degree.

Hakuna night shift muda huo wewe utakuwa unailoweka na kuichapa kwa mamsup.

Wagonjwa wako watakuwa ni wachache hakuna lawama huko.Ngangania MD uje kikurambe utaita maji mma.Ukienda md wewe na theator, theator na wewe calls haziishi na kulipwa majaaliwa.Saa nyingine upo juu ya kiuno unashangaa unapigiwa simu ukaassit huko kimeumana😄😄😄

Mshahara wa Physiotherapist ni karibu sawa na wa MD.

Muda wa ziada unafanya mambo yako na ukijikaza ukamiliki vifaa vyako unaweza ukawa unawafata wagonjwa wako majumbani unawafanyisha mazoezi kwa makubaliano ya pesa.Au ukafungua clinic yako private kwa huduma za mazoezi ya viungo.

Ukilamba shavu ukapata timu hizi za michezo ukawa daktari wao.Umeula wewe unapiga kotekote kama RONADO😄😄😄

Pia oportunities za kufundisha vyuo vya diploma bado zipo nyingi kwakua wataalamu wa physio ni wachache.

📌Bongo hakuna passion. Jiposition uenjoy maisha kaza fuvu uwehuke, achana na story za secondary za udaktari wa MD huko hakuna hela, hakuna kupumzika. Na ukiringa kwakuwa mpo wengi wenzako wanakula.
umeongea ukweli mtupu...MD kibongobongo ni mateso...yaani unaambulia misifa tu ila kazi hospital unapiga zilezile wanazopiga CO. Mshahara mbu mateso shindili.

Dah kweli wanaofanikiwa maishani sio wanaoteseka mashuleni unakuta mtu kasomea BA in HR....anakula maisha ila wewe umekaza fuvu 5 years unateseka na Calls kama Mwanga vile.
 
Back
Top Bottom