Diploma ya clinical medicine: md miaka 5 au amo miaka 2—utachagua ipi?

Bro take it Easy hizi Lugha achana nazo tujikite katika kuelimishana tu
 
Kaka hata kama kakukosea Msamehe tu, tupo humu kwaajili ya kujifunza nakuomba kwa namna ya kipekee sana msamehe tu Kaka angu lugha hizi ni kali sana
Bro anisamehe huyo kwa kipi!? Yani yeye ndiye aliyeanza kunivunjia heshima halafu hanisamehe!?? Embu achana naye huyo punguani asiyejielewa. Takataka kama hiyo ina umuhimu gani kwangu hadi uniombee msamaha kwake!? Umeniangusha kaka.
 
Bro take it Easy hizi Lugha achana nazo tujikite katika kuelimishana tu
Kaka nimeanzisha mada ili kutaka ushauri mtu anakuja kulazimisha mawazo na matusi juu. Hivi huyo anajielewa!? Nishamu ignore tayari kaka.
 
Kuwa mkweli Mkuu HR yupi anakula maisha kuliko MD Mzee na wote wapo Tamisemi mfano!?


Ni kweli kwa conparison ya majukumu na anachopokea ni Tatizo ola sio kuunderrate sana kiasi hicho MD na nikueleze tu huenda unajua ua haujui MD ndio kada pekee yenye salary kubwa kuliko kada zote unazozijua wewe kwa Tamisemi na Serikali Kuuu
 
Kingine MD na CO scope zao ni Tofauti kabisaa kabisaa yaan hapo umetupamga CO yupi anafanya TAH, CO yupi anafanya Hernioctomy wala Laparatomy tu!??
 
kwenye mataasisi ya serikali huoni ma HR wakivimba
 
Kingine MD na CO scope zao ni Tofauti kabisaa kabisaa yaan hapo umetupamga CO yupi anafanya TAH, CO yupi anafanya Hernioctomy wala Laparatomy tu!??
procedures zozote ni uzoefu tu ukikaa theatre kwa muda chini ya daktari mbobevu...unaweza kufanya
 
kwenye mataasisi ya serikali huoni ma HR wakivimba
Nimekwambia Tamisemi na Serikali kuu na watumishi wengi tupo humu kaka hayo ya Taasisi hata MD waliopo huko wana maisha mazuri tu na hawalii njaa na kazi kama huko nilikotaja
 
Kaka nimeanzisha mada ili kutaka ushauri mtu anakuja kulazimisha mawazo na matusi juu. Hivi huyo anajielewa!? Nishamu ignore tayari kaka.
Mbona kakushauri vizuri tu. Kwamba uende physiotherapy kuliko kwenda AMO na MD na faida zake kakuelezea vizuri tu mkuu. Au shida ni gani?
 
Aende Miaka 5 ya MD, AMO ni inatambulika Tanzania tu.
 
Mbona kakushauri vizuri tu. Kwamba uende physiotherapy kuliko kwenda AMO na MD na faida zake kakuelezea vizuri tu mkuu. Au shida ni gani?
Umeukutia ugomvi mwishoni mkuu. Tuachane na hayo tuendelee na mada husika.
 
Umemaliza Mkuu
Energy,muda unaotumika kupata hiyo MD haviendani na kipato hata kidgo msuli mgumu wa PCB unajipinda kupiga one kali unaenda chuo miaka mitano ya msoto na mateso na mwaka mmoja wa intern then unakuja kuzidiwa salary na kilaza mmoja aliyefeli hesabu form 4 yupo TRA kasoma Finance miaka mitatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…