Diploma ya clinical medicine: md miaka 5 au amo miaka 2—utachagua ipi?


SIWEZI MSHAURI KIJANA ASOMEE UDAKTARI AWE DOKITA BONGO kama hapendi maisha ya STRESS na KUTESEKA na UMASIKINI mfukoni huku jina kubwa na heshima kubwa kitaa.
 
Kusema Kweli nipo hii Kada ila ninasurvive tu Mkuu ila sio kwmaba nakuls Cake ya hii Dunia
 
Jana nilipata Bahati ya kuwasiliana na TTCIH pamoja na Lugalo moja kwa moja kwenye simu na kwa kufika kwa physical NIPENDE KUSEMA TU MTOA MADA KADANGANYA UMMA NA KASEMA UONGO SAAANAA AU KATEPELIWA HKUNA KOZI YA AMO TANZANIA NA WALA HAIJARUSHIWA..

NAMBA ZA TTCIH +255232931532 kwa mwenye kutaka mawasiliano na Lugalo +255736161722 ,+255736161722...

Tuhakikishe Taarifa kabla ya kuzua taharuki
 
Kupishana laki tano ktk gross, hiyo ni ndogo?
 
Mshahara wa bachelor ya Physiotherapy ni mdogo, ni kama AMO au bachelor ya medical lab
 
Pia huyo MD ili akwepe hizo kero unazosema, si anaenda masters tu kwisha.
 
Hao diploma wanaochukua take home kubwa, wamekaa muda mrefu kazini, je MD naye akikaa muda mrefu, huoni naye atachukua hela nyingi tu?
 
CO gani anafanya kazi za MD?
 
Nimekwambia Tamisemi na Serikali kuu na watumishi wengi tupo humu kaka hayo ya Taasisi hata MD waliopo huko wana maisha mazuri tu na hawalii njaa na kazi kama huko nilikotaja
Hata tamisemi kicheo HR(afisa utumishi) ni mkubwa kuliko daktari bingwa wa tamisemi, ila bosi huyo(HR) kazidiwa mshahara na hata mwenye bachelor ya medical lab.
 
Na huyo daktari akiajiriwa JKCI unafikiri utakuwa sawa nae? Huyo aliyesoma finance akiajiriwa tamisemi si atapata hela ndogo tu? Kingine unadhani ni rahisi kuajiriwa TRA?
 
Mshahara wa bachelor ya Physiotherapy ni mdogo, ni kama AMO au bachelor ya medical lab
Wati bawaangalii Basic watu wanaangalia Free time kufanya mishe zao hulko wewe na MD afu uko GYN/OBS tena RRH lazima ulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…