Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 2,091
- 1,918
Ni kweli ila malipyoto ndio watamshambulia kwa matusiTeam
Kanukuu mambo mengi
- Amani ya nchi
- Usalama wa nchi
- Kuwekeza ktk raslimali watu
- Sekta ya viwanda kupewa kipaumbele
- Utekelezaji wa mipango badala ya kubaki na makablasha ya mipango makabatini
- Utulivu wa kisiasa
- Kandarasi za ndani kupewa kazi badala ya kuzigawa kwa wakandarasi wa nje
Kasema vizuri maybe wasimwelewe tu. Nasi tunakazia amani na utulivu viwe key to our national development
nakaziaAmani bila kutenda haki na kuendelea kuteka, kutesa na kuua wapinzani ni jambo lisilo wezekana.
Huyu jamaa ana cheo gani serikalini au huko ccm ?Team
Kanukuu mambo mengi
- Amani ya nchi
- Usalama wa nchi
- Kuwekeza ktk raslimali watu
- Sekta ya viwanda kupewa kipaumbele
- Utekelezaji wa mipango badala ya kubaki na makablasha ya mipango makabatini
- Utulivu wa kisiasa
- Kandarasi za ndani kupewa kazi badala ya kuzigawa kwa wakandarasi wa nje
Kasema vizuri maybe wasimwelewe tu. Nasi tunakazia amani na utulivu viwe key to our national development
Elon Musk nyuma ya DJ TrumpHuyu jamaa ana cheo gani serikalini au huko ccm ?
Hapa ulimaanisha hii ndio signature yako mpya hii?Kmmke JK
wapinzani hatarishi kwa nchi wauawe tu na kuliwa kiboga iwe fundishonakazia
peleka ujinga kwenu mkuuwapinzani hatarishi kwa nchi wauawe tu na kuliwa kiboga iwe fundisho
narudia tena wauliwepeleka ujinga kwenu mkuu
Huyo ndio anakula hii nchi amerudi tena yaani this time mpaka inzi watakufa hii sio vita bali vita ya dunia ya chama yetu macho na maombiTeam
Kanukuu mambo mengi
- Amani ya nchi
- Usalama wa nchi
- Kuwekeza ktk raslimali watu
- Sekta ya viwanda kupewa kipaumbele
- Utekelezaji wa mipango badala ya kubaki na makablasha ya mipango makabatini
- Utulivu wa kisiasa
- Kandarasi za ndani kupewa kazi badala ya kuzigawa kwa wakandarasi wa nje
Kasema vizuri maybe wasimwelewe tu. Nasi tunakazia amani na utulivu viwe key to our national development
Wakiwaua waseme wamewaua siyo kusumbua jamii kuanza kuwatafuta wakisema hawajui walipo. Wakifanya hivyo bila kutoa taarifa na makosa yao na wao wanaingia kwenye list ya watu hatarishi kwa nchi.wapinzani hatarishi kwa nchi wauawe tu na kuliwa kiboga iwe fundisho
Vipi umepitishwa ili uje ukazie Bungeni!?,Ni jambo jema ikitekekezwa kwa usahihi na kuwa muendelezoTeam