Dira ya 2050: Rostam Azizi asisitiza umuhimu wa amani na utulivu kuwa ndiyo msingi wa maendeleo

Dira ya 2050: Rostam Azizi asisitiza umuhimu wa amani na utulivu kuwa ndiyo msingi wa maendeleo

Team
Kanukuu mambo mengi
  • Amani ya nchi
  • Usalama wa nchi
  • Kuwekeza ktk raslimali watu
  • Sekta ya viwanda kupewa kipaumbele
  • Utekelezaji wa mipango badala ya kubaki na makablasha ya mipango makabatini
  • Utulivu wa kisiasa
  • Kandarasi za ndani kupewa kazi badala ya kuzigawa kwa wakandarasi wa nje

Kasema vizuri maybe wasimwelewe tu. Nasi tunakazia amani na utulivu viwe key to our national development
namuunga mkono. amesema jambo la maana sana. hata kandarasi, imagine kuna tilioni moja hapa ya kujenga barabara, unawapa watu wa nje, hivyo pesa inaenda nje. badala ya kuwapa wakandarasi wa hapa, halafu tilioni yote hiyo inabaki hapahapa kwa watu wako. ndivyo wazungu wanavyofanya. serikali inawapa watu wao hivo pesa inabaki kwao, sisi tunatoa pesa nje, wa nje wanaenda kutajirika zaidi wa kwetu wanabaki vibarua.
 
Kiashiria kuonyesha kuna shida kubwa kwenye taasisi zinazo-deal na usalama wa nchi..ni huyu rostam kurudi rudi nchini na kupata stage km raia na mtu muhimu kwa nchi..!
Taasisi hizo zikifanya homework yao inavyotakiwa, huyu hapaswi kabisa kuonekana hapa!
 
Team
Kanukuu mambo mengi
  • Amani ya nchi
  • Usalama wa nchi
  • Kuwekeza ktk raslimali watu
  • Sekta ya viwanda kupewa kipaumbele
  • Utekelezaji wa mipango badala ya kubaki na makablasha ya mipango makabatini
  • Utulivu wa kisiasa
  • Kandarasi za ndani kupewa kazi badala ya kuzigawa kwa wakandarasi wa nje

Kasema vizuri maybe wasimwelewe tu. Nasi tunakazia amani na utulivu viwe key to our national development
kujenga uchumi wa nchi kwenye taifa lisilo na katiba madhubuti ya kulinda rasilimali na fedha za taifa ni sawa na kujaza maji kwenye pipa lenye matundu mengi yanayo toa maji kuliko Yanayo wekwa.
 
Team
Kanukuu mambo mengi
  • Amani ya nchi
  • Usalama wa nchi
  • Kuwekeza ktk raslimali watu
  • Sekta ya viwanda kupewa kipaumbele
  • Utekelezaji wa mipango badala ya kubaki na makablasha ya mipango makabatini
  • Utulivu wa kisiasa
  • Kandarasi za ndani kupewa kazi badala ya kuzigawa kwa wakandarasi wa nje

Kasema vizuri maybe wasimwelewe tu. Nasi tunakazia amani na utulivu viwe key to our national development
Ni kosa kwa mwana ccm kutamka neno haki
 
Pumbavu zake,amani na utulivu wakati kikundi cha watu wachache wanakula minofu ya nchi
 
Wamekupa sababu gani ya kwa nini hawataki kuwapa wakandarasi wa hapa nchini!
hata sijui, kwa sababu kama hoja ingekuwa ni ten percent, hata hawa wabongo wangetoa tu. hoja watakayotoa nikiwauliza watasema ni uwezo, wakati watanzania mainjinia wapo nje huko wanafanya vyema tu, wengine wapo hadi ulaya, wameenda kusoma ulaya na marekani, wameamua kubaki na kufanya kazi kwenye makampuni ya huko, wakiona kuna fursa bongo watarudi wote na tutakuwa na professionals wengi hapahapa na hela itazunguka hapahapa au kwa watoto wetu badala ya wageni. hata hivyo, I don't support ten percent, though hata kama ingekuwepo ingefaidisha watoto wetu/watz badala ya wageni. kwa sasa wageni wanachukua kila kitu.

chukua mfano, ujenzi wa bwawa, kampuni za nje huko zimetajirika mno, natamani zingetajiriika za kwetu.
 
Back
Top Bottom