Direct Sales Staff (300 Positions) at NMB Bank September, 2024

Direct Sales Staff (300 Positions) at NMB Bank September, 2024

Mi nauliza Kuna mtu amefanya hii test pale kwny review akaandikiwa not permitted . Au ni wote ?
 
Hivi passmark ya nmb ni ngap maana mm nilipata 65/100
 
Attachments

  • Screenshot_20241021_152104_Chrome.jpg
    Screenshot_20241021_152104_Chrome.jpg
    143.9 KB · Views: 19
Mi jamani nishaanza kufanya Mazoezi ya intavyuuu maana sijui inakuwaje na sijawah kufanya intavyuuu 😊 na lugha yenyewe kuongea Ina kwama kwama labda kuandika 🥹
 
Hakuna bhn inategemea na marks watu walio pata Sasa kama wa kwanza kapata 70 je ? Alafu mengine ni bahati pia
Mkuu kwani ni lazima mtu ufanye sales tu au watapanga kutokana na CV na experience ya mtu????
 
Mkuu kwani ni lazima mtu ufanye sales tu au watapanga kutokana na CV na experience ya mtu????
Dah ! Yan we wakuuliza hili swali ? Kwani TANGAZO limetoka TANGAZO la kazi gani na iyo test mmefanya test ya kazi gan .mbona unauliza swali kama sio msomi . Aisee
 
Dah ! Yan we wakuuliza hili swali ? Kwani TANGAZO limetoka TANGAZO la kazi gani na iyo test mmefanya test ya kazi gan .mbona unauliza swali kama sio msomi . Aisee
Usikurupuke mzee kujibu acha wenge unajua nilimaanisha nini usomi unaingiaje apa Kuna kitu nilitaka ku refer kwa aliyepata mwaka Jana sasa we unakuja mazima tu bila break acha wenge wew
 
Hizi sio zile kazi za kuzunguka kitaa unajaribu kutafuta wateja na kulipwa kwa commission ? Yaani hakuna basic....; Kuna Bank Access ilikuwa inatoa sana hizi kazi watu wanaanza baada ya wiki wanaacha yaani mtu unakuta hata nauli yake hairudi kwa siku.....
Si ndo huyo fala hapo juu namuuliza analeta ngonjera wakati yeye mwenyewe haelewi NMB ni pana sana mtu unatupwa popote tu Kuna mwaka Jana mtu alipangiwa kwenye account verification tu sasa namuuliza analeta ngonjera za sjui usomi
 
Back
Top Bottom