BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Naye lazima atamng'arisha kidogo wadada wakibongo wanna poor mentality kujitaftia kansa huyo matron sijui ni bibi cjamwelewa
Huwa hamjiamini n wengine unakuta anasura y pinda nae anajicream awe mcute ndio anatisha zaidi
Joan ni 0.5Mmh maharusi wa siku hizi bana, yani hadi siku ya harusi tunabeba na simu zetu jamani, ndo tunataka tu-update kila tukio au?
Sasa yeye haupendi weusi na kajichubua, afu still anaenda kuolewa na mwanaume mweusi mweeeee si angetafuta mweupe sasa. Mtoto akizaliwa mweusi atamchubua au?
Ni poor mentality ya kufikiri uzuri ni lazima uwe mweupe wengine huwa wanachekesha sura haieleweki kajicream siku hizi hadi mama wazima unakuta mwekundu si mwekundu yani shida tupu
jamani wambea wenzangu mmeona picha ya RIO PAUL ig anakata mauno nimeona kwa usipojipanga
Khaaa
Hii kali sana
mwenzio siwezi na usipojipanga kashaitoa yaani ni shiida kuzaa si kupata
Hhhhhhaa eti anakata kiuno balaaa
binamu ananyonga mwanaume yule no doubt ni chakla maana amenyonga halafu akasimama kubaishia kitanda yaani
Khaaa
Hii kali sana
jamani wambea wenzangu mmeona picha ya RIO PAUL ig anakata mauno nimeona kwa usipojipanga
Tusione tena sie watafuta habaree?,Joan kuwadi wa mashoga, wasagaji na straight