Director Joan afunga ndoa leo

Director Joan afunga ndoa leo

Amedirect movie gan jamani hebu wekeni picha zake tumuone vizuri
 
Huyo hapo na mumewe.
 
Attachments

  • 1416661528596.jpg
    1416661528596.jpg
    69.9 KB · Views: 1,238
Mhhh hivi director Joan baba yake ni mchina au?maana ana kama uchina flani hivi tofauti na hicho kitaulo..
Huyo bwana alimtangaza insta juzijuzi tu leo ndoa juu
Haya bibi na wewe nenda ukayaone ya ndoa maana ulivyokua unawakuwadia waume za watu sijui yako itakuwaje...

kumbe mdananda joan....!!
 
Mmh maharusi wa siku hizi bana, yani hadi siku ya harusi tunabeba na simu zetu jamani, ndo tunataka tu-update kila tukio au?
Sasa yeye haupendi weusi na kajichubua, afu still anaenda kuolewa na mwanaume mweusi mweeeee si angetafuta mweupe sasa. Mtoto akizaliwa mweusi atamchubua au?
 
Hahahahhaha
 
Haha haaaa
 
Atakua anampigisha vitaulo taratibu mpaka awe mweupe
 
Mmh maharusi wa siku hizi bana, yani hadi siku ya harusi tunabeba na simu zetu jamani, ndo tunataka tu-update kila tukio au?
Sasa yeye haupendi weusi na kajichubua, afu still anaenda kuolewa na mwanaume mweusi mweeeee si angetafuta mweupe sasa. Mtoto akizaliwa mweusi atamchubua au?

binamu hujui tunaishi maisha ya location
 
Aaah tumezidi sasa na sie. Huwakii kupokea simu au text ya kukuharibia siku na mood yote ya sherehe ikaisha. Muachie simu mtu wako wa karibu yeye atatu-update na kila tukio, kama unaona tutachelewa kukuona unavyofunga ndoa eishhh
 
Back
Top Bottom