Director Joan afunga ndoa leo

Director Joan afunga ndoa leo

Uchumi wa dar lazima uyumbe. Maana ma-boutique na baa/hotel nyingi zilitegemea pesa chafu. Sasa kimenuka mazima.
 
Zamani Joan alikuwa anatangaza channel 10 wakati huo alikuwa bado mdogo mdogo, sikujua alipo long time, ndio nikaanza kumuona juzi juzi hapa kumbe ni business woman siku hizi.
Zamani alikuwa ana rap pia kwenye kundi lililokuwa kinaitwa badskin ...alikuwa anachana balaaa

Ova
 
Motoni kuna mngoja huyo. Kumbe yeye ndio anashawishi wanawake wajichubue?
 
Nimejikuta nacheka!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mama katuharibia dada zet!
 
Huyo mpambe wa ni harusi simuelewi, hizo ni kope au......?
 
Mkorogo wake hatare...in bei haswa. Anauza pia nywele kuanzia 300,000 hadi 1,000,000. Joan unilipe nakutangazia biznes hivyo. Mnunulie wifi mkorogo na nywele


Inabidi ampe mikorogo na huyu mumewe au hamuoni kama mweusi. Wakinadada acheni kujipendelea wenyewe mkumbuke na mume zenu
 
Back
Top Bottom