TANZIA Director Nisher afariki dunia

FAMILIA YA NABII MKUU.MHE.DKT.GEORDAVIE INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA KIJANA WAO MPENDWA NIC DAVIE (NISHER) KILICHOTOKEA USIKU WA KUAMKIA LEO SAA NANE NA DAKIKA TISA.

MSIBA UNAFANYIKIA KATIKA NYUMBA YA MATAMKO KISONGO ARUSHA TANZANIA!!

2TIMOTHEO4:7
 

Attachments

  • 1702387932091.jpg
    107.9 KB · Views: 4
Kimeumana, Yule Jamaa alieandikwa kwenye ufunuo 18. 1- 5 na 9 - 13, Hanaga masihara kwenye makubaliano.
 
Maombi ya mzazi wake yaligonga mwamba?

Ukimwi bado upo na unaua. Vijana kuweni makini
 
Depression si mchezo..haijalishi how life luxury unaishi...hiyo roho ya kujiua kwa mtoto wa mchungaji inaleta maswali mengi...... maana inasemekana amejiumiza shingoni na kichwani..means alijichinja...hapo atakuwa alikuwa highly deep depression na hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…