TANZIA Director Nisher afariki dunia

Depression yake ilisababishwa na nini while everything was there.?

Au ni vile hakupewa good support from his family mama and father.


Money ✅
Career✅
Fame ✅

It is pain Kama aliamua kujitoa uhai kisa hayo mambo hapo juu.
Hakupewa support?
Support gani?

Hadi alipokuwa amefikia,Baba yake alimsupport sana,
Na alimsomesha nje huko...aliporudi alikuwa anahudumu Kanisani Kwa Baba yake,hata alipotaka kuondoka kutafuta challenge mpya, Baba yake alimruhusu aingie kufanya bongofleva
 

Mimi nimeuliza tu Ila najua na wewe haujui chochote kuhusu Nisher the same na mm.


Familia yake na marehemu ndo wanaujua ukweli
 
Mimi nimeuliza tu Ila najua na wewe haujui chochote kuhusu Nisher the same na mm.


Familia yake na marehemu ndo wanaujua ukweli
Statement yako naona hujaiweka kwa mfumo wa swali.

Ni kweli,Mimi na wewe hatujui
Ila maelezo ya Geordavie yalikuwa ni hayo.
 
Rest in peace
 
Inawezekana kweli Aendelee kupumzika salama.

Life is meaningless sometimes.
Inaumiza sana🥹
Yaani
Pamoja na kutoka maisha ya kishuani ila anakufa kwa depression

Huyu angezaliwa huku kwetu kwenye hali ngumu sijui ingekuwaje🥹

Mtoto wa kiume pekeyake kwenye familia
What a loss💔
 
Inaumiza sana🥹
Yaani
Pamoja na kutoka maisha ya kishuani ila anakufa kwa depression

Huyu angezaliwa huku kwetu kwenye hali ngumu sijui ingekuwaje🥹

Mtoto wa kiume pekeyake kwenye familia
What a loss💔


Kuna mambo yalimlemea Kama kifo cha mtoto wake , mahusiano yake so depression ikachukua nafasi.
 

Attachments

  • criadormaloka-cor-1702133518091.jpeg
    105 KB · Views: 8
Mnatafuta nini kwenye makaburi ya watu? Mwacheni apumzike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…