Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hakupewa support?Depression yake ilisababishwa na nini while everything was there.?
Au ni vile hakupewa good support from his family mama and father.
Money ✅
Career✅
Fame ✅
It is pain Kama aliamua kujitoa uhai kisa hayo mambo hapo juu.
Support gani?
Hadi alipokuwa amefikia,Baba yake alimsupport sana,
Na alimsomesha nje huko...aliporudi alikuwa anahudumu Kanisani Kwa Baba yake,hata alipotaka kuondoka kutafuta challenge mpya, Baba yake alimruhusu aingie kufanya bongofleva