Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
SawaPambaneni na umasikini wenu
Nakukumbusha kuwa mahali pabaya peponi pia papo na so Kila anayekufa anaenda pema peponi.Aisee
Mungu alilaze roho ya marehemu mahali pema Peponi.
Pole kwa wana familia na wadau wote wa muziki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu naambiwa maisha ya kaburini ni marefu zaidi kuliko ya dunianiNakukumbusha kuwa mahali pabaya peponi pia papo na so Kila anayekufa anaenda pema peponi.
πππππππππApumzike kwa amani, bora angetangulia baba yake tapeli yule.
Nimewaza hivi piaπ₯ΊKwann wazo la kwanza kuingia kichwani mwangu baada ya Taarifa ya tanzia hii ni Kafara?I don't why ila ndio mawazo yanayojirudia rudia
Nimejiuliza watu wanasema alipata depression toka mtt wake afe ndo najiuliza au kifo cha huyo mtt hakikua cha kawaida kikamuachia mawazo hivyo?Unataka kusemaje alitolewa sadaka madhabauni?
Kwamba mungu ndo anatubeba, hata mwenye umri mdogo.?Maisha ni zawadi kutoka kwa Mungu
Kifo ndio njia ya Mbinguni, Je, GeorDavie hataki mwanae atangulie Mbinguni?Habari wana jf, Poleni na harakari za hapa na pale za utafutaji, π€
β’ Katika maisha, hapa duniani binadamu tunapita,
"R. I. P NiSher Davie" , sote tupo njia moja. Mwenyezi mungu akupunguzie Adhabu ya kifo huko uendako ππΏ.
β’ Lakini kutokana na hili tukio la leo, nimejikuta najiuliza maswali machache :-
1.. Swali langu la kwanza : Kama kweli huyu ni Nabii (Geor Davie) je alishindwaje kutabiri kifo cha mtoto wake, ? ( au tuseme alijua kifo cha mtoto wake, lakini akaamua kukaa kimya ili kutimiza hatima ya mungu)?
2. Swali la pili : Kama kweli huyu ni nabii (Geor Davie) , je ameshindwaje kuwasiliana na mungu moja kwa moja kuhusu matatizo ya mtoto wake, ili ikiwezekana yatatuliwe mapema kabla ya umauti kumfikia NiSher ?
3. Swali la tatu : Sasa kama familia yao wanashindwa kuilinda kwa njia ya unabii wao, je mtu baki nitakaye enda kanisani kwake, nitaokolewa??
4. Swali la nne : Je tuwaite wapotoshaji !!, kama ni wapotoshaji kwa nini mamlaka zimekaa kimya?
5. Manabii wa zamani, mfano Eliya na Elisha walifanya matendo ya kimiujiza, ikiwa ni pamoja na kufufua watu, je nabii Geo davie atafufua mtoto wake?? ππ.
dini ni ujasiriamali kama ulivyo ujasiriamali mwingine, ukishalijua hilo wala hutojishughulisha kumuuliza maswali geor davie kuhusu kifo cha mwanae.Habari wana jf, Poleni na harakari za hapa na pale za utafutaji, [emoji1666]
β’ Katika maisha, hapa duniani binadamu tunapita,
"R. I. P NiSher Davie" , sote tupo njia moja. Mwenyezi mungu akupunguzie Adhabu ya kifo huko uendako [emoji1545].
β’ Lakini kutokana na hili tukio la leo, nimejikuta najiuliza maswali machache :-
1.. Swali langu la kwanza : Kama kweli huyu ni Nabii (Geor Davie) je alishindwaje kutabiri kifo cha mtoto wake, ? ( au tuseme alijua kifo cha mtoto wake, lakini akaamua kukaa kimya ili kutimiza hatima ya mungu)?
2. Swali la pili : Kama kweli huyu ni nabii (Geor Davie) , je ameshindwaje kuwasiliana na mungu moja kwa moja kuhusu matatizo ya mtoto wake, ili ikiwezekana yatatuliwe mapema kabla ya umauti kumfikia NiSher ?
3. Swali la tatu : Sasa kama familia yao wanashindwa kuilinda kwa njia ya unabii wao, je mtu baki nitakaye enda kanisani kwake, nitaokolewa??
4. Swali la nne : Je tuwaite wapotoshaji !!, kama ni wapotoshaji kwa nini mamlaka zimekaa kimya?
5. Manabii wa zamani, mfano Eliya na Elisha walifanya matendo ya kimiujiza, ikiwa ni pamoja na kufufua watu, je nabii Geo davie atafufua mtoto wake?? [emoji52][emoji52].