TANZIA Director Nisher afariki dunia

Haya yoote ni maswali yasiyokuwa na msingi wowote.
1. Daudi aliyependwa sana na Mungu alifiwa na kijana mzuri mnoo aitwaye Absalom...hakuna mtu alihoji

2. Manabii waliotangulia na kufanya makubwa nao walikufa...Kibaya zaidi nabii Elisha alifu kwa typhoid...iliitwa ugonjwa wa matumbo enzi zile.

Kutokana na haya huna hoja.

Haimanishi ukiwa nabii au mtumishi wa Mungu mabaya hayatakukuta..

Note: Geodavie mwenyewe ni nabii mwenye utata
 
Kimsingi kaandika kwa lengo la kukashfu tu ila anajua ukweli.
 
Hii issue nlisikia mda kidogo istoshe kama mzee alikua amemtenga na kua karibu na mtoto wa kike na mumewe huyo mtoto...huyo binti na mumewe ndio wameshika mpini kwasasa kwenye sadaka ...fununu jamaa alikua ndani tu kwa uwezo wa angempeleka nje kupatiwa matibabu mana pesa anayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…