TANZIA Director Nisher afariki dunia

TANZIA Director Nisher afariki dunia

Habari wana jf, Poleni na harakari za hapa na pale za utafutaji, [emoji1666]

• Katika maisha, hapa duniani binadamu tunapita,
"R. I. P NiSher Davie" , sote tupo njia moja. Mwenyezi mungu akupunguzie Adhabu ya kifo huko uendako [emoji1545].


• Lakini kutokana na hili tukio la leo, nimejikuta najiuliza maswali machache :-

1.. Swali langu la kwanza : Kama kweli huyu ni Nabii (Geor Davie) je alishindwaje kutabiri kifo cha mtoto wake, ? ( au tuseme alijua kifo cha mtoto wake, lakini akaamua kukaa kimya ili kutimiza hatima ya mungu)?

2. Swali la pili : Kama kweli huyu ni nabii (Geor Davie) , je ameshindwaje kuwasiliana na mungu moja kwa moja kuhusu matatizo ya mtoto wake, ili ikiwezekana yatatuliwe mapema kabla ya umauti kumfikia NiSher ?

3. Swali la tatu : Sasa kama familia yao wanashindwa kuilinda kwa njia ya unabii wao, je mtu baki nitakaye enda kanisani kwake, nitaokolewa??

4. Swali la nne : Je tuwaite wapotoshaji !!, kama ni wapotoshaji kwa nini mamlaka zimekaa kimya?


5. Manabii wa zamani, mfano Eliya na Elisha walifanya matendo ya kimiujiza, ikiwa ni pamoja na kufufua watu, je nabii Geo davie atafufua mtoto wake?? [emoji52][emoji52].
Huyo sio nabii ni msanii au lugha nyepesi mpigaji kupitia sadaka za wajinga
 
Basi ingekua hivyo DiBanj na Davido tungekua hatunao mda huu, watoto si unakamata Mwanamke tu unamjaza mimba issue sio mtoto sio depression kuna maelezo zaidi ya hayo anaejua sana sana ni yeye na nakafa nayo, apumzike panapositahiri tutaonana mawinguni
Weeee nyamaza kimya huna mtoto ndo mana unajiongelea tu pumbavu zako wahedi...
 
Weeee nyamaza kimya huna mtoto ndo mana unajiongelea tu pumbavu zako wahedi...
Waliopoteza watoto wote wangekua washakufa wa kwanza Mimi, ongea tena wahedi Baba yako aliekosea hilo bao angepiga nyeto

Kuna wale wazee wa Arusha waliopoteza watoto wao kwa siku moja walikua watatu sijui wanne wote kwa ajali ya gari ingekua hivyo Si ungesikia wale wazee sasa ni marehemu
 
View attachment 2840201
Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza wa Muhubiri maarufu wa Arusha wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dr. GeorDavie, Nic Davie maarufu Nisher amefariki saa nane na dakika tisa usiku wa kuamkia leo December 12,2023.

Familia ya Dr. GeorDavie imethibitisha kutokea kwa msiba huo wa Kijana wao Nisher na kusema msiba unafanyika katika nyumba ya matamko Kisongo Jijini Arusha na kwamba taarifa zaidi zitatolewa baadaye.
Hanscana na Khalfan walianza hizo kazi mikononi mwa Nisher. Na hata walianza kufanya kazi kivyao kwa kuondoka na baadhi ya vifaa vyake.

Kwa ukubwa walionao sasa wawili hao ni matunda ya Nisher kwa kiasi fulani, hasa kwa 'kuwasusia' baadhi ya vifaa hivyo walivyoondoka navyo.

Mungu ailaze roho yake mahali pema.

Ova
 
mzee geodevie atakuwa anajua nini shida, na pengine zilitumika nguvu badala ya hekima na saikolojia katika kumhudumia... nisher kwanza wakishua, mzee ana pesa mzee ana connection, pili yeye mwenyewe mtu mkubwa, maarufu na bila shaka mzigo anao... hizo attempt za kujiua zinaonesha kuna mambo mazito yalikuwa yanamtatiza, pengine madawa, au mambo ya kifamilia.... sasa kuna uwezekano hakupata tiba sahihi ya kimwili, kiakili na kiroho (vitu vote hivi viko ndani ya uwezo wa baba yake)... sasa kuvikosa ndio huko majaribio kadhaa mpaka kufanikiwa kujiua... kifo hakina mbabe ila kama kweli ni kwa kujiua basi mzee wake atakuwa na mengi ya kujilaumu....
swala la kupoteza mtoto ni painfull lakn angepata msaada sahihi lilikuwa ni jambo la kupita, bado ni kijana Mungu angembariki mwingine.. hizo ni assumption zangu kwa sasa until further info kuhusu chanzo cha kifo chake.
Inasikitisha Sana,Pole kwa ndugu , jamaa na marafiki.
 
Kifo cha jamaa kimenifikirisha sana hili swala la vijana wadogo maarufu kukutana na magonjwa ya viungo vya ndani kama ini, figo, mapafu na moyo.

Wakuu tuangalie sana mwenendo wa maisha yetu hasa ya starehe (sisemi kwa marehemu ila sisi vijana).

Kazi yake Mola.
Kwani Da Mange Kasemaje?
 
Back
Top Bottom