Director wa filamu ya Royal Tour aache kumdharau Rais Samia

huyo jamaa hana kosa, bahati nzuri wazungu sio wanafki kama watanzania. Hiyo kazi ndio anayoiweza huyu ndugu yetu kwahiyo ni sahihi kupewa ushauri kama huo aliompatia. Hata mimi ukiniuliza nitakujibu Samia nilimpa kura ya kuwa makamu tu si vinginevyo, bado sijapiga kura nyingine ya kumfanya awe tofauti na umakamu. Kilichotokea sasa ni sawa na mtu anapita mahali akaokota embe, atakavyolila embe lake ni tofauti na yule ambaye akatafuta hela na akaenda kununua embe sokoni...heshima zao ni tofauti kabisa 😀
 
Hata hivyo mama kampenda sana director[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji23] jamani peeeter hukuliona hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatzo watanzania kila kitu tunakichukua huku tukikiunganisha na makasiriko yetu binafsi ya maisha magumu,wazungu wana vitu vinaitwa sense humour yani ucheshi na utani,msiwe serious sana jamani mtakufa au kuzeeka mapema eh
 
Kwanini director amemchukua nzungu wakati waafrika wapo??

Huu ni uzalendo?[emoji23]
 
Nilichoka sana nilupoona akaunti yake ya instagram ina follwers 26.k.

Sina maana kawamba followers ni kigezo cha msingi sana,hiko ni kigezo changu binafsi tu.
 
Mie naona rais angempa spika Tulia ndiye afanye hiyo filamu
 
Hivi Tz hatuna director wakumdirect MH Rais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…