Director wa filamu ya Royal Tour aache kumdharau Rais Samia

Alichomaanisha Huyu mzungu ni kwamba,wakifuata protocol za "Urais" filamu haitafanikiwa
 
Kwao hao rais ni mfanyakazi tu anaefanya kazi za wananchi na kulipwa na wananchi,
 
Tatizo sisi tunakawia sana kujua vipaji vya watu. Jamaa ameona kitu kuwa huko angefanya vizuri kuliko kwingine.
Tusitafsiri kila kitu kwa mahaba. Huenda hata aliyemabiwa hivyo alifurahia na siyo kukasirishwa na kauli hiyo
 
Amemkosea sana rais wetu...jana nilivyomsikia mh.Rais Clouds FM akimzungumzia huyo director Jinsi anavyomwambia maneno ya dharau nilishangaa sana...rais lazima apewe heshima yake.
director afungwe segerea
 
Ni Sawa Na makobazi wanavyotulazimisha tuiheshimu Ramadhan,adhana,Quran?
 
Amemkosea sana rais wetu...jana nilivyomsikia mh.Rais Clouds FM akimzungumzia huyo director Jinsi anavyomwambia maneno ya dharau nilishangaa sana...rais lazima apewe heshima yake.
Hujui lugha, umekaririshwa
 
Kwani uongo?

Anafaa uigizaji na sio uongozi, tena apewe scènes za kichawi kama yule Bi Mwenda atapendeza sana.

Uliona alivyovua samaki mkubwa? [emoji476] [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…