Director wa filamu ya Royal Tour aache kumdharau Rais Samia

Director wa filamu ya Royal Tour aache kumdharau Rais Samia

Nimeshtushwa na maneno ya dharau ya huyu director wa filamu inayotangaza utalii nchini Tanzania ya Royal Tour kwa rais wetu Bibi Samia Suluhu Hassan.

Amemshauri mh.Rais aache urais awe muigizija, kwani amevutiwa na uigizaji wake.

Vile vile anamuita mtukufu rais kwa jina lake ''Samia", baada ya mh.rais.

Hata mh.Rais mwenyewe kashangaa , anasema huyu jamaa amesahau kama yupo nchini Tanzania.

Rai yangu huyu jamaa aache kumdharau rais wetu.
Alichomaanisha Huyu mzungu ni kwamba,wakifuata protocol za "Urais" filamu haitafanikiwa
 
Kwao hao rais ni mfanyakazi tu anaefanya kazi za wananchi na kulipwa na wananchi,
 
Tatizo sisi tunakawia sana kujua vipaji vya watu. Jamaa ameona kitu kuwa huko angefanya vizuri kuliko kwingine.
Tusitafsiri kila kitu kwa mahaba. Huenda hata aliyemabiwa hivyo alifurahia na siyo kukasirishwa na kauli hiyo
 
Amemkosea sana rais wetu...jana nilivyomsikia mh.Rais Clouds FM akimzungumzia huyo director Jinsi anavyomwambia maneno ya dharau nilishangaa sana...rais lazima apewe heshima yake.
director afungwe segerea
 
Mheshimiwa kwa nani ?

Heshima inalazishwa ?.., Ni choice yako hata kama ukitaka kumuita mtu Mtukufu hio ni Prerogative yako.., ila sio ulazimishe watu wafanye hivyo...

Mfano kuna watu wanaweza kuona kitu / mtu wewe unachokiheshimu kwamba ni cha hovyo, sasa kuwalazimisha hao nao wakiona kinaheshimika nadhani ni kupitwa na wakati...
Ni Sawa Na makobazi wanavyotulazimisha tuiheshimu Ramadhan,adhana,Quran?
 
Hakiaya nani nimecheka ,kuna picha imenijia hapa

Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app

Mungu Ambariki mama yetu....
PX-02-scaled.jpg
 
Amemkosea sana rais wetu...jana nilivyomsikia mh.Rais Clouds FM akimzungumzia huyo director Jinsi anavyomwambia maneno ya dharau nilishangaa sana...rais lazima apewe heshima yake.
Hujui lugha, umekaririshwa
 
Kwani uongo?

Anafaa uigizaji na sio uongozi, tena apewe scènes za kichawi kama yule Bi Mwenda atapendeza sana.

Uliona alivyovua samaki mkubwa? [emoji476] [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom