The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
- Thread starter
-
- #421
Duuu..na ndo kwanza walioomba ni wachache kuliko wanaotarajia kuombaHiv hapa inaposema 'applicant Number' labda 57934 inamaanisha idadi ya watu walio apply hadi sasa?
Kama ni hivyo, it is discouraging
Ila hadi Jana mchana saa 8 niliona namba ya mwisho kwa jamaa inasoma 34K+..Duuu..na ndo kwanza walioomba ni wachache kuliko wanaotarajia kuomba
Jana usiku mida ya saa 6 kuelekea 7 nimekamilisha application nimmekua mtu wa 39773 hatari sanaDuuu..na ndo kwanza walioomba ni wachache kuliko wanaotarajia kuomba
Hiyo picha ya pili hivyo vibox vya juu viko tupu jaza hivyo then uone inakuajeNdugu zanguni nimekamilisha kila kitu ila bado naambiwa incomplete application. Please complete your application. Jamani nakosea wapi?View attachment 1567754View attachment 1567755
Uongo mkubwa sana maana kama wangekuwa wanafanya kama hvo wanavosema na huyo jamaa ako watu wanaaply mpk leo na maomb yanaena na unakuta n mtu wa 30elfu why wasifunge systemNini hiki?
View attachment 1567895
Duh watu 12000 elfu kwa 40000 elfu changamotoJana usiku mida ya saa 6 kuelekea 7 nimekamilisha application nimmekua mtu wa 39773 hatari sana
Hcho kipengele cha nafas unaona wp wakuu maana nimeapply alaf sijaona chochoteUongo mkubwa sana maana kama wangekuwa wanafanya kama hvo wanavosema na huyo jamaa ako watu wanaaply mpk leo na maomb yanaena na unakuta n mtu wa 30elfu why wasifunge system
Due labda inaweza kuwa kweli maana mi nilifanya machaguo matano lakini manne waliyotoa na kubakiza shule moja na inaandikwa hadi mamba ya usajili wa shule husika je na wezangu ni hivyo ili tujueNini hiki?
View attachment 1567895
Peleka cheti NECTA.Hata mimi imelata shuda lakini namba ya form four ni ya nje haikubali sijui nafanyaje maana Tamisemi hawatoi ushirikiano mzuri
Peleka cheti NECTA.
Mh! Kama ingekuwa kweli basi wangetoa nafasi moja tu ya shule/kituo kimoja tu. Lakini mm nimeletewa mikoa 5 na wilaya mbili mbili nikachagua moja moja kwa kila mkoa + shule mbili mbili nikachagua moja moja zidisha Mara 5 jumla nimeomba vituo zaidi 5. Mara masomo 2 = 10.Nini hiki?
View attachment 1567895
Hiv hii unakuta nafas ni 1 ila bado MTU anajaza, ujasir anautoa wapiMh! Kama ingekuwa kweli basi wangetoa nafasi moja tu ya shule/kituo kimoja tu. Lakini mm nimeletewa mikoa 5 na wilaya mbili mbili nikachagua moja moja kwa kila mkoa + shule mbili mbili nikachagua moja moja zidisha Mara 5 jumla nimeomba vituo zaidi 5. Mara masomo 2 = 10.
Japokuwa ni kweli vituo/mikoa vinapungua ila sidhani kama inaweza ikajifunga...
Hiv hii unakuta nafas ni 1 ila bado MTU anajaza, ujasir anautoa wapi
Kam n hivy, basi zile shule zenye nafas moja zingekua zimeshapotea lakin bado zinabak kweny chaguzi, Ina mana bado watu wanachaguaKwasababu saikolojia yawatu wengi wataikimbia hio nafasi moja kwa kuogopa competition, kwahio anaejaza usikute akawa peke yake, nimejaribu kuwaza kwa Sauti.
Inategemea mkuu, nilichogundua mfano shule inahitaji Mwalimu wakiswahili 1 itaonekana nafasi moja, lkn shule hio hio inaweza kuwa inahitaji walimu wa civics 3 kwahio mtu wa civics akiingia lazima aone nafasi bado zipo, muonekano wanafasi katika shule unategemea na muhusika anahitaji afundishe masomo yapi.Kam n hivy, basi zile shule zenye nafas moja zingekua zimeshapotea lakin bado zinabak kweny chaguzi, Ina mana bado watu wanachagua