Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Wengine connection hatuna!

Duh hadi ajira za uchaguzi ulikosa!!!??...zile ajira zina wenyewe,wazee wa kamati za roho mbaya kama watoto wa wajumbe wa nyumba kumi,watoto wa wenyekiti wa serikali za mitaa,vijana wale ccm unaowanaga kwenye kampeni wamevaa matisheti ya njano na kijani,watoto na wajomba za watendaji wa kijiji..wewe mwenzangu na mimi huwezi kupata hata uwe na vigezo vyote na vyeti vya kila aina...nilipopeleka ile barua ya maombi katika ofisi ya mtendaji,wakati tunasaini akatokea mzee moja akamwambia yule mpokeaji wa barua "mh huyo kijana wetu wa pale mtaani kwa mzee.....,mzingatie mh",kulikuwa na dogo mmoja nimemzidi kama miaka 5 lakini kashasimamia kama chaguzi 2 hivi. ...nikajisemea duh hapa hakuna kitu hapa!

Na kweli,majina yalivyotoka ..mi sipo,was**ge wamenitosa dadeek
 
Haya maisha sio fair kabisa daaaah lakini tushukuru kwa yote
 
Daah! Kilichokupa na mm ndo kimenipata kwakweli...inauma sana...sjui hizi ajira za magufuri ...ila wanapewa hela ndefu SNA kama laki tatu hivi.
 
Baada ya kumaliza mwaka jana nikaona hakuna matarajio ya ajira. Nikaendelea kukomaa na mishe zangu

Picha linaanza mwezi September wizara fulani kupitia chuo wakawa wanahitaji wafanya kazi kwa haraka kozi yetu , tukaletewa taarifa tumejaza mafomu yao, taarifa kibao hadi za wazazi utadhani unajiandikisha nida ,

Nimelipa madeni ili nichukue cheti cha fm6 ,nikakomaa hadi nikapata cheti cha chuo, maana walikuwa wanatupekeka fasta balaa nikajua wajuba tumelamba dume

Deadline ilikuwa September 7 ya kutuma taarifa lakini hadi leo jamaa wako kimywa bila mrejesho wowote kwa wote tuliotuma

Ngoja tukamalizane nao kwenye sanduku la kura ,tumechoka maigizo na ahadi hewa
 

kilichokukuta ndio kimenikuta mwaka jana huo huo sema sisi ilikua october,

Nilifanikiwa kupiga pepa sekta flan iv mtu kama 60 hivi tukapita 12 for oral,Mungu ni mwema nayo ikaenda fresh.

Tukabadilishana number ili watakao ukwaa utajiri watushtue.

Daadek hadi leo wote 12 hakuna hata mmoja aliejulishwa kilichoendelea. mwisho tumekua washkaj na maisha mengine yanaendelea.[emoji2361].

SEMA KAULI MBIU NI ILEILEEEE ( MARUFUKU KUKATA TAMAA[emoji3577])
 
Mimi huu mchakato umetokea mwaka huu yaani tumepishana kidogo sana na walimu. Yaani hakuna jambo gumu kama kusubiri ajira usiyokuwa na mategemeo kuipata
 
Mimi huu mchakato umetokea mwaka huu yaani tumepishana kidogo sana na walimu. Yaani hakuna jambo gumu kama kusubiri ajira usiyokuwa na mategemeo kuipata

Basi kuweni na subra tu mkuu, huo mda ni mchache sana kuanza kuwa na wasiwasi.Ipo siku simu zitaita.

kuna wana iliwabidi kusubiri mwaka+ baada ya kupiga pepa ndio simu zikalia.

Ajira za serikali naskia huwa zinapitia michakato mingi mno.
 
Oh the reality is seen from your reply!
 
Haha mambo haya sio poa kabisa ukiyatilia maanani unaathirika kisaikolojia ni Bora hata wasingekuwa wanatangaza ajira let's say ajira tulizoomba miaka ilopita wangekuwa wanasort kwenye hio hio database na kuachia majina tu kuliko hivi wanavyofanya maana ni kukumbushia machungu na kutonesha vidonda mtu unajaribu ku move on na maisha nje ya ajira punde tu tangazo la kazi na danadana za ajira zinaanza Tena yaani ni kuumizana tu.


Yote kwa yote sisi was Arts wa 2015 tukikosa Tena ajira kwenye hizi zilizotoka Basi taratibu tutaanza kutoka kwenye mfumo wa kuajirika serikalini tuombe Sana MUNGU tuwepo kwenye hizi ajira
 
πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
Poleni /hongereni kwa upigaji wa kura !
Kwajina la 'Allah' , majina tiari yako shortlisted. Kuhusu kuyaachia iko wazi, ni maswala ya Kisiasa.

Kumbuka siasa ndo huamua maisha yako, mkurugenzi wa Wilaya/Halmashauri ndio msimamizi wa Uchaguzi na yeye ndo muhusika mkuu ambaye utapaswa kwenda kuriport pindi utapochaguliwa.

Je, wewe unahisi watajipangaje ?! Na ilipaswa wajipange haswa, maana upepo ulichange.

Kiselikari mambo hubadilika muda wowote, kwa manufaa yoyote.
 
Huwezi kutoka kwenye mfumo, mpaka utapozidi miaka 45.

Kuanzia mwakani, Selikari itaanza utaratibu mpya ,mzuuri wa uajiri

Awamu ijayo JPM vijana watanufaika sana,

Maana kashinda kwa 'kishindo' kwa namna waijuao wao.

Amini nakuambia vijana ni bomu na hatoliacha lilipuke, maana katumia nguvu nyingi kuhakiki mitano tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…