Empirically
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 238
- 87
Ndo hivo yaniduuuh maisha ya wengine yanaamuliwa na wanasiasa too sad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hivo yaniduuuh maisha ya wengine yanaamuliwa na wanasiasa too sad
Wengine connection hatuna!
Haya maisha sio fair kabisa daaaah lakini tushukuru kwa yoteDuh hadi ajira za uchaguzi ulikosa!!!??...zile ajira zina wenyewe,wazee wa kamati za roho mbaya kama watoto wa wajumbe wa nyumba kumi,watoto wa wenyekiti wa serikali za mitaa,vijana wale ccm unaowanaga kwenye kampeni wamevaa matisheti ya njano na kijani,watoto na wajomba za watendaji wa kijiji..wewe mwenzangu na mimi huwezi kupata hata uwe na vigezo vyote na vyeti vya kila aina...nilipopeleka ile barua ya maombi katika ofisi ya mtendaji,wakati tunasaini akatokea mzee moja akamwambia yule mpokeaji wa barua "mh huyo kijana wetu wa pale mtaani kwa mzee.....,mzingatie mh",kulikuwa na dogo mmoja nimemzidi kama miaka 5 lakini kashasimamia kama chaguzi 2 hivi. ...nikajisemea duh hapa hakuna kitu hapa!
Na kweli,majina yalivyotoka ..mi sipo,was**ge wamenitosa dadeek
Daah! Kilichokupa na mm ndo kimenipata kwakweli...inauma sana...sjui hizi ajira za magufuri ...ila wanapewa hela ndefu SNA kama laki tatu hivi.Duh hadi ajira za uchaguzi ulikosa!!!??...zile ajira zina wenyewe,wazee wa kamati za roho mbaya kama watoto wa wajumbe wa nyumba kumi,watoto wa wenyekiti wa serikali za mitaa,vijana wale ccm unaowanaga kwenye kampeni wamevaa matisheti ya njano na kijani,watoto na wajomba za watendaji wa kijiji..wewe mwenzangu na mimi huwezi kupata hata uwe na vigezo vyote na vyeti vya kila aina...nilipopeleka ile barua ya maombi katika ofisi ya mtendaji,wakati tunasaini akatokea mzee moja akamwambia yule mpokeaji wa barua "mh huyo kijana wetu wa pale mtaani kwa mzee.....,mzingatie mh",kulikuwa na dogo mmoja nimemzidi kama miaka 5 lakini kashasimamia kama chaguzi 2 hivi. ...nikajisemea duh hapa hakuna kitu hapa!
Na kweli,majina yalivyotoka ..mi sipo,was**ge wamenitosa dadeek
Baada ya kumaliza mwaka jana nikaona hakuna matarajio ya ajira. Nikaendelea kukomaa na mishe zangu
Picha linaanza mwezi September wizara fulani kupitia chuo wakawa wanahitaji wafanya kazi kwa haraka kozi yetu , tukaletewa taarifa tumejaza mafomu yao, taarifa kibao hadi za wazazi utadhani unajiandikisha nida ,
Nimelipa madeni ili nichukue cheti cha fm6 ,nikakomaa hadi nikapata cheti cha chuo, maana walikuwa wanatupekeka fasta balaa nikajua wajuba tumelamba dume
Deadline ilikuwa September 7 ya kutuma taarifa lakini hadi leo jamaa wako kimywa bila mrejesho wowote kwa wote tuliotuma
Ngoja tukamalizane nao kwenye sanduku la kura ,tumechoka maigizo na ahadi hewa
Mimi huu mchakato umetokea mwaka huu yaani tumepishana kidogo sana na walimu. Yaani hakuna jambo gumu kama kusubiri ajira usiyokuwa na mategemeo kuipatakilichokukuta ndio kimenikuta mwaka jana huo huo sema sisi ilikua october,
Nilifanikiwa kupiga pepa sekta flan iv mtu kama 60 hivi tukapita 12 for oral,Mungu ni mwema nayo ikaenda fresh.
Tukabadilishana number ili watakao ukwaa utajiri watushtue.
Daadek hadi leo wote 12 hakuna hata mmoja aliejulishwa kilichoendelea. mwisho tumekua washkaj na maisha mengine yanaendelea.[emoji2361].
SEMA KAULI MBIU NI ILEILEEEE ( MARUFUKU KUKATA TAMAA[emoji3577])
Mimi huu mchakato umetokea mwaka huu yaani tumepishana kidogo sana na walimu. Yaani hakuna jambo gumu kama kusubiri ajira usiyokuwa na mategemeo kuipata
😉😉😉😉Ajira zitatika kati ya 21/10/2020 hadi 27/10/2020.
Stay tuned.
Vipi mkuu naona utabiri wa jamaa umefeli😉😉😉😉
Oh the reality is seen from your reply!Kwa upande wangu, kutoka kwa hizi ajira inategemea lengo kuu la hizi ajira. Ikiwa lengo la ajira ni:
A) sehemu ya kampeni ili waweze kupewa kura za kutosha, basi ajira zitatolewa baada ya uchaguzi kupita.
Kwanini? Idadi ya ya waliomba ajira hizi ni kubwa sanaaaa ukilinganisha na uhitajio wake... Hivo, kama watatoa ajira kabla ya uchaguzi, waombaji wengi wataachwa hali itakayopelekea wengi wao kutowapigia kura wagombea wao. Hivo, watasubiri kwanza tupige kura tukiwa na imani ya kuajiriwa then ndo watoe hizo ajira.
B) kuongeza nguvu mashuleni ili kuboresha elimu, basi ajira zitatolewa kabla ya uchaguzi na walimu waripoti kazini haraka iwezekanavyo.
Kwanini? Zoezi la shortlisting linauwezo wa kukamilika ndani ya wiki 2-3 na kutoa majina ya walimu pamoja na vituo vyao vya kazi. Hivo hadi kufikia kwenye tarehe za 20 na kitu hivi, ajira zinaweza kuwa tayari.
Alijaribu sehemu yake, source imegomaVipi mkuu naona utabiri wa jamaa umefeli
Kweli Ila tusubiri watatoa tuAlijaribu sehemu yake, source imegoma
Huyo jamaa mwanzoni aliwaaminisha watu anataarifa muhimi kuhusu hizi ajira kumbe hewa tuVipi mkuu naona utabiri wa jamaa umefeli
Kweli mkuu kumbe anazingua ni Bora uache watu wasubiri t huku wakifanya ishu zngneHuyo jamaa mwanzoni aliwaaminisha watu anataarifa muhimi kuhusu hizi ajira kumbe hewa tu
Poleni /hongereni kwa upigaji wa kura !😉😉😉😉
Huwezi kutoka kwenye mfumo, mpaka utapozidi miaka 45.Haha mambo haya sio poa kabisa ukiyatilia maanani unaathirika kisaikolojia ni Bora hata wasingekuwa wanatangaza ajira let's say ajira tulizoomba miaka ilopita wangekuwa wanasort kwenye hio hio database na kuachia majina tu kuliko hivi wanavyofanya maana ni kukumbushia machungu na kutonesha vidonda mtu unajaribu ku move on na maisha nje ya ajira punde tu tangazo la kazi na danadana za ajira zinaanza Tena yaani ni kuumizana tu.
Yote kwa yote sisi was Arts wa 2015 tukikosa Tena ajira kwenye hizi zilizotoka Basi taratibu tutaanza kutoka kwenye mfumo wa kuajirika serikalini tuombe Sana MUNGU tuwepo kwenye hizi ajira