Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Siasa hizi.
 
Ile ilikuwa politiks tu mdogo wangu, sera ya ajira haipo kwenye plan za magufuli
 
Najua SULEIMAN JAFO unasoma hii comment maana upo humu jukwaani na hata wasaidizi wako wa PO-RALG wapo humu wanatuchungulia na excitation zetu juu ya Ajira mpya hizo.

Kesho achia majina ya vijana hao ili wasiende kuandamana uwafanye kua busy hizi wiki mpaka atakapoapishwa Mzee then at the end of this November waanze kuripoti vituo vyao vya kazi wakashiriki kuona namna gani mitihani ya taifa inafanyika pia na usimamizi wa shughuli shuleni kwani walimu wengi wataenda kusimamia.

Utaacha wafanye kazi December yote kuzoea mazingira ya shule halafu by January vijana waanze kazi rasmi ya ufundishaji huku wakiwa wameshazoea kituo chao cha kazi vizuri.

cc SULEIMAN JAFO
Ministry PO-RALG
Dodoma
01 November 2020
 
Hali ni tete,
Mbaya zaidi yatoke hlf mtu anakosa jina lake, anaanza kuwaza hadi 2022 tena!
Very sad!
 
Daah nimepitia huu uzi hadi nimeshikwa na huruma maana watu wanasubiri kwa hamu kweli...Ila ningependa kushauri hamtakiwi kuwa na 100% kuwa mtapata ajira maana ikitokea umekosa sijui utachukua maamuzi gani...Endelea kupiga harakati zako za kila siku fanya kama umesahau kuhusu majina ya ajira kisha kichwani mwako uwe unafikiria in terms of probability yaani kuna kupata na kukosa.

Kama ukipata ni jambo la kushukuru na kama ukikosa usitoke kwenye mstari na kujiona ndo umeshindwa kila kitu bado muda upo wa kuzidi kufanya mambo mengi mbali na kuajiriwa.

Ni hayo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…