The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
- Thread starter
- #881
Siasa hizi.Poleni /hongereni kwa upigaji wa kura !
Kwajina la 'Allah' , majina tiari yako shortlisted. Kuhusu kuyaachia iko wazi, ni maswala ya Kisiasa.
Kumbuka siasa ndo huamua maisha yako, mkurugenzi wa Wilaya/Halmashauri ndio msimamizi wa Uchaguzi na yeye ndo muhusika mkuu ambaye utapaswa kwenda kuriport pindi utapochaguliwa.
Je, wewe unahisi watajipangaje ?! Na ilipaswa wajipange haswa, maana upepo ulichange.
Kiselikari mambo hubadilika muda wowote, kwa manufaa yoyote.