Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Poleni /hongereni kwa upigaji wa kura !
Kwajina la 'Allah' , majina tiari yako shortlisted. Kuhusu kuyaachia iko wazi, ni maswala ya Kisiasa.

Kumbuka siasa ndo huamua maisha yako, mkurugenzi wa Wilaya/Halmashauri ndio msimamizi wa Uchaguzi na yeye ndo muhusika mkuu ambaye utapaswa kwenda kuriport pindi utapochaguliwa.

Je, wewe unahisi watajipangaje ?! Na ilipaswa wajipange haswa, maana upepo ulichange.

Kiselikari mambo hubadilika muda wowote, kwa manufaa yoyote.
Siasa hizi.
 
Haha mambo haya sio poa kabisa ukiyatilia maanani unaathirika kisaikolojia ni Bora hata wasingekuwa wanatangaza ajira let's say ajira tulizoomba miaka ilopita wangekuwa wanasort kwenye hio hio database na kuachia majina tu kuliko hivi wanavyofanya maana ni kukumbushia machungu na kutonesha vidonda mtu unajaribu ku move on na maisha nje ya ajira punde tu tangazo la kazi na danadana za ajira zinaanza Tena yaani ni kuumizana tu.

Yote kwa yote sisi was Arts wa 2015 tukikosa Tena ajira kwenye hizi zilizotoka Basi taratibu tutaanza kutoka kwenye mfumo wa kuajirika serikalini tuombe Sana MUNGU tuwepo kwenye hizi ajira
Ile ilikuwa politiks tu mdogo wangu, sera ya ajira haipo kwenye plan za magufuli
 
Najua SULEIMAN JAFO unasoma hii comment maana upo humu jukwaani na hata wasaidizi wako wa PO-RALG wapo humu wanatuchungulia na excitation zetu juu ya Ajira mpya hizo.

Kesho achia majina ya vijana hao ili wasiende kuandamana uwafanye kua busy hizi wiki mpaka atakapoapishwa Mzee then at the end of this November waanze kuripoti vituo vyao vya kazi wakashiriki kuona namna gani mitihani ya taifa inafanyika pia na usimamizi wa shughuli shuleni kwani walimu wengi wataenda kusimamia.

Utaacha wafanye kazi December yote kuzoea mazingira ya shule halafu by January vijana waanze kazi rasmi ya ufundishaji huku wakiwa wameshazoea kituo chao cha kazi vizuri.

cc SULEIMAN JAFO
Ministry PO-RALG
Dodoma
01 November 2020
 
Hali ni tete,
Mbaya zaidi yatoke hlf mtu anakosa jina lake, anaanza kuwaza hadi 2022 tena!
Very sad!
 
Daah nimepitia huu uzi hadi nimeshikwa na huruma maana watu wanasubiri kwa hamu kweli...Ila ningependa kushauri hamtakiwi kuwa na 100% kuwa mtapata ajira maana ikitokea umekosa sijui utachukua maamuzi gani...Endelea kupiga harakati zako za kila siku fanya kama umesahau kuhusu majina ya ajira kisha kichwani mwako uwe unafikiria in terms of probability yaani kuna kupata na kukosa.

Kama ukipata ni jambo la kushukuru na kama ukikosa usitoke kwenye mstari na kujiona ndo umeshindwa kila kitu bado muda upo wa kuzidi kufanya mambo mengi mbali na kuajiriwa.

Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom