Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Samahani bi-dada unaposema Certify unamaana ipi hasa?.
Una toa vyeti original copy, then wanavipgwa mhuri na mwana Sheria then una scan na ku vi attach kwenye hyo application
 
Una toa vyeti original copy, then wanavipgwa mhuri na mwana Sheria then una scan na ku vi attach kwenye hyo application
Hiyo kitu INA umuhim kweli wakat tyr nimescan na details zinaonekana?
 
Hiyo kitu INA umuhim kweli wakat tyr nimescan na details zinaonekana?
It's a must kufanya hivo ajira za utumishi lazima u certify vyeti, hafu ili usiteseke ku scan maanna kitaa Ni ghali download application ya clearscanner kwenye simu yako, uwe una scan, Ila Mimi kukushauri as tahadhari vyeti toa copy viwe na mhuri wa mwanasheria ndio u scan, usisahau na Cha kuzaliwa
 
Sawa..mbn ajira zilizopita watu hawaja certify lakin walipata..au naongopa
 
Sawa..mbn ajira zilizopita watu hawaja certify lakin walipata..au naongopa
Mimi sijui Ila zote tu hata ajira portal una certify tu ka tahadhari hata haifiki buku ten, na hao waliopata uliwauliza kuwa hawaku certify
 
Sasa Kama mazingira unayoishi mwanasheria ni ngumu kumpata inakuwaj dada
 
Mimi sijui Ila zote tu hata ajira portal una certify tu ka tahadhari hata haifiki buku ten, na hao waliopata uliwauliza kuwa hawaku certify
Nimeuliza wakasema hawajafanya hivyo..kuna wengine walifanya na hawajapata so vice-versa is the case
 
Mkuu ulikuwa mang'aliza nn au godegode
 
Nakazia: Mwenye kufaham, Atujuze tafafhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…