cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Una toa vyeti original copy, then wanavipgwa mhuri na mwana Sheria then una scan na ku vi attach kwenye hyo applicationSamahani bi-dada unaposema Certify unamaana ipi hasa?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una toa vyeti original copy, then wanavipgwa mhuri na mwana Sheria then una scan na ku vi attach kwenye hyo applicationSamahani bi-dada unaposema Certify unamaana ipi hasa?.
Bachelor degree111c n ualimu level ipi wakuu[emoji849][emoji849]
Hiyo kitu INA umuhim kweli wakat tyr nimescan na details zinaonekana?Una toa vyeti original copy, then wanavipgwa mhuri na mwana Sheria then una scan na ku vi attach kwenye hyo application
Hata leo hayapo pia, hizo ni ajira hewa za arts.Hii makitu haifunguki kabisa.Jana usiku ilikuwa inafunguka tatizo madomo ya Arts hayakuwepo kabisa kwenye selection, natumai leo watakuwa wamesharekebisha, hapo chini ni masomo waliyokuwa wameweka
View attachment 1562852View attachment 1562853View attachment 1562854View attachment 1562855View attachment 1562856
wew imefunguka system mkuuHata leo hayapo pia, hizo ni ajira hewa za arts.
It's a must kufanya hivo ajira za utumishi lazima u certify vyeti, hafu ili usiteseke ku scan maanna kitaa Ni ghali download application ya clearscanner kwenye simu yako, uwe una scan, Ila Mimi kukushauri as tahadhari vyeti toa copy viwe na mhuri wa mwanasheria ndio u scan, usisahau na Cha kuzaliwaHiyo kitu INA umuhim kweli wakat tyr nimescan na details zinaonekana?
Sawa..mbn ajira zilizopita watu hawaja certify lakin walipata..au naongopaIt's a must kufanya hivo ajira za utumishi lazima u certify vyeti, hafu ili usiteseke ku scan maanna kitaa Ni ghali download application ya clearscanner kwenye simu yako, uwe una scan, Ila Mimi kukushauri as tahadhari vyeti toa copy viwe na mhuri wa mwanasheria ndio u scan, usisahau na Cha kuzaliwa
Mimi sijui Ila zote tu hata ajira portal una certify tu ka tahadhari hata haifiki buku ten, na hao waliopata uliwauliza kuwa hawaku certifySawa..mbn ajira zilizopita watu hawaja certify lakin walipata..au naongopa
Sasa Kama mazingira unayoishi mwanasheria ni ngumu kumpata inakuwaj dadaIt's a must kufanya hivo ajira za utumishi lazima u certify vyeti, hafu ili usiteseke ku scan maanna kitaa Ni ghali download application ya clearscanner kwenye simu yako, uwe una scan, Ila Mimi kukushauri as tahadhari vyeti toa copy viwe na mhuri wa mwanasheria ndio u scan, usisahau na Cha kuzaliwa
Nimeuliza wakasema hawajafanya hivyo..kuna wengine walifanya na hawajapata so vice-versa is the caseMimi sijui Ila zote tu hata ajira portal una certify tu ka tahadhari hata haifiki buku ten, na hao waliopata uliwauliza kuwa hawaku certify
Mbona inafunguka muda wote! Wewe unakwama wapi?wew imefunguka system mkuu
na sisi wenye degree za engineering poa tuombe ualimu. Si ndo maana ya tangazo au kuna sehem sijaelewa?
Unatumia simu au computers?Mbona inafunguka muda wote! Wewe unakwama wapi?
ComputerUnatumia simu au computers?
Computer
[/QUOTES
Browser gan unatumia ww
Inafunguka kupitia nini mbona kwangu inagoma toka asubuhi
Nimejaribu kea computer Bado inakataa aisee nyie mnatumia browser gan labdaJaribu kwa computer.Simu na tablets majanga
Mkuu ulikuwa mang'aliza nn au godegodeMwaka jana zilitokea nafasi kama hizi. Mimi nilipangiwa kazi halmashauli ya Mpwapwa Dodoma kama mwalimu wa Physics & Mathematics. Bila kusahau kua mimi sijasoma ualimu ila kwa sifa kama walizosema hapa ilikuepo hiyari yakuamua kuwa mwalimu.
Kufupisha story, ualimu nilifanya siku 4 nikaacha (Siku niliyoenda kesho yake nikaondoka, baada ya wiki mbili nikaenda tena nikakaa siku tatu nikaondoka milele, jumla siku nne). D.E.O alitaka nimsujudie, sikukubali. Siku zote 4 nilizokua kituo cha kazi sikupatikana hewani maana laini zangu za voda na tigo kule hazishiki kabisa.
Kuna gari moja tu linalotoka kule kwenda mjini. Linaondoka saa tisa usiku. Ukilikosa hilo hakuna tena safari. Kwakifupi kupanga safari yakwenda mjini ni kupanga mkesha.
Jumapili hilo gari halisafiri. Kwahyo ukikesha usiku wa ijumaa kuamkia jumamosi, utasafiri ufike mjini saa tatu asubuhi na ili jumatatu uwe kazini itabidi jumamosi hiyohiyo saa saba mchana uwe kwenye gari hiyo hiyo maana huo ndo muda wakurudi. So una chini ya masaa manne kukamilisha kilichokupeleka mjini. Ila unasafiri kwa zaidi ya masaa 13 kwenda mjini.
Nimechanganya mengi hapo ila shortly, nafasi ni chache watu ni wengi (Ni nafuu zaidi kama una Physics & Mathematics). Mazingira ya kazi ni Magumu. Mshahara ndo ivo tena. Kada ya ualimu inadharaulika.
Sikukatishi tamaa nasema uyafahamu mazingira yako ya kazi. Focus kwenye vision yako no matter how hard the situation seems to be. In my case at that time I chose to flee. I wouldn't recommend the same choice for you.
Niliambulia hela ya kujikimu thought.
Nakazia: Mwenye kufaham, Atujuze tafafhaliHabari za muda huu wakuu,
Naomba kuuliza kama kuna mtu alishawahi fanikisha maombi ya ualimu kwenye mfumo wa TAMISEMI yaani OTEAS Kwa kutumia majina mawili pekee?
Maana mimi vyeti vyangu vya shule vyote vina majina mawili lakini mfumo unataka majina matatu ingawa kwenye cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha taifa yapo majina yote matatu
Je nikitaka kuweka jina la tatu naruhusiwa au kuna utaratibu mwingine natakiwa kufuata?
Hahahmwenzenu nafungua naona kuna vitu kama maputo vinazunguka tu hahahahhahahhaha sielewi kitu hapa