2019 aliajiri walimu au akili yako haiload vizuri ?Alishawaona nyie hamnazo tu
Anawadanganya Kama watoto
Walimu ni gongo wazi aisee, hawajui hata kuchambua mambo
Kwa akili yako ya kawaida, magufuli anaweza toa ajira za walimu?
Huyu magufuli kabisa???
Jiwe???
Atoe ajira????
Zinduka usingizini kijana [emoji23][emoji23][emoji23]
tupo tunamalizia mchakato wa kupanga vituoUna uhakika Gani na taarifa zakoo?
Hahahah ukiwa mtumishi wa Umma kuna viapo.Huwezi Ukaropoka humu kwa I'd Faketupo tunamalizia mchakato wa kupanga vituo
kama huamini shauri yako
Hujalazimishwa kuamini!Hahahah ukiwa mtumishi wa Umma kuna viapo.Huwezi Ukaropoka humu kwa I'd Fake
Kwani kwa miaka mitano iliyopita haujui kuwa kaajiri walimu wengi tuAlishawaona nyie hamnazo tu
Anawadanganya Kama watoto
Walimu ni gongo wazi aisee, hawajui hata kuchambua mambo
Kwa akili yako ya kawaida, magufuli anaweza toa ajira za walimu?
Huyu magufuli kabisa???
Jiwe???
Atoe ajira????
Zinduka usingizini kijana [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe endelea kuuza matikiti tuwalimu mjiandae soon majina ya kupangiwa vituo vya kazi yatatolewa
kuripoti mpaka january
Kaajir walimu gani wewe,Kwani kwa miaka mitano iliyopita haujui kuwa kaajiri walimu wengi tu
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Ajira Gani alitoa wewe jamaa2019 aliajiri walimu au akili yako haiload vizuri ?
Uzuri umekiri kaajiri, hapo umeshindana na akili yako ya kataAjira Gani alitoa wewe jamaa
Ficha ujinga wako basi,
Hao walimu elf nne ndio ajira???
Tena kwa kubagua mno, et sayansi, mbaya zaidi wakawekana wao kwa wao
Hujielewi
Mkuu inatakiwa zitokeMitano tena.
Pum.ba.vu zenu tena hzo nafasi zisitoke milele...
Kuna kadada flan kamemaliza Informatics chuo cha kata kila siku kalikuwa kanapiga kampeni kwenye status za WhatsApp this five years tutaheshimiana tu
Bora zisitoke.mkuu inatakiwa zitoke
ninauhakika humu hapati mtu hizo ajira za kujuana
Acha ujinga kama alikukataa kwa upumbavu wako acha kumsema humu.Ndio hivvyo sasa Mitano TenaMitano tena.
Pum.ba.vu zenu tena hzo nafasi zisitoke milele...
Kuna kadada flan kamemaliza Informatics chuo cha kata kila siku kalikuwa kanapiga kampeni kwenye status za WhatsApp this five years tutaheshimiana tu
oya naona kama kuna dalili mzigo utatoka
Dalili zipi umeziona? Na lini?oya naona kama kuna dalili mzigo utatoka
Walijua umeshajiajiriNdivo ilivyo, mfano kwa tuliomaliza 2015 tumeshaomba km mara tatu kwa namna hiihii, yn mara zote unakosa na hkna hata rafk ako wala uliyemaliza nae unayesikia kapata ndivyo hali ilivyo hatuna jinsi nikupokea na kusonga mbele kikubwa uzima.
Kwel mkuu au matumain tuuTetesi ni kwamba ndani ya wiki hii ajira za ualimu zinatoka
zitatoka vikiwa zimepangwa vutuo vya kazi moja kwa moja
Bila shaka hiyo iformatics kamesomea SUA?Mitano tena.
Pum.ba.vu zenu tena hzo nafasi zisitoke milele...
Kuna kadada flan kamemaliza Informatics chuo cha kata kila siku kalikuwa kanapiga kampeni kwenye status za WhatsApp this five years tutaheshimiana tu