2019 aliajiri walimu au akili yako haiload vizuri ?Alishawaona nyie hamnazo tu
Anawadanganya Kama watoto
Walimu ni gongo wazi aisee, hawajui hata kuchambua mambo
Kwa akili yako ya kawaida, magufuli anaweza toa ajira za walimu?
Huyu magufuli kabisa???
Jiwe???
Atoe ajira????
Zinduka usingizini kijana [emoji23][emoji23][emoji23]