Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Alishawaona nyie hamnazo tu

Anawadanganya Kama watoto

Walimu ni gongo wazi aisee, hawajui hata kuchambua mambo

Kwa akili yako ya kawaida, magufuli anaweza toa ajira za walimu?

Huyu magufuli kabisa???

Jiwe???

Atoe ajira????

Zinduka usingizini kijana [emoji23][emoji23][emoji23]
2019 aliajiri walimu au akili yako haiload vizuri ?
 
Kwani kwa miaka mitano iliyopita haujui kuwa kaajiri walimu wengi tu

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
2019 aliajiri walimu au akili yako haiload vizuri ?
Ajira Gani alitoa wewe jamaa

Ficha ujinga wako basi,

Hao walimu elf nne ndio ajira???

Tena kwa kubagua mno, et sayansi, mbaya zaidi wakawekana wao kwa wao

Hujielewi
 
Mitano tena.

Pum.ba.vu zenu tena hzo nafasi zisitoke milele...

Kuna kadada flan kamemaliza Informatics chuo cha kata kila siku kalikuwa kanapiga kampeni kwenye status za WhatsApp this five years tutaheshimiana tu
 
Uzuri umekiri kaajiri, hapo umeshindana na akili yako ya kata
 
Mitano tena.

Pum.ba.vu zenu tena hzo nafasi zisitoke milele...

Kuna kadada flan kamemaliza Informatics chuo cha kata kila siku kalikuwa kanapiga kampeni kwenye status za WhatsApp this five years tutaheshimiana tu
Mkuu inatakiwa zitoke
ninauhakika humu hapati mtu hizo ajira za kujuana
 
mkuu inatakiwa zitoke
ninauhakika humu hapati mtu hizo ajira za kujuana
Bora zisitoke.
Kuna mijitu huwa haina akili inaungana na wanufaika wa system kuhujumu haki za wengine ilihali yenyewe hainufaiki kwa lolote.....

Zisitoke tuuu ili watie akili
 
Mitano tena.

Pum.ba.vu zenu tena hzo nafasi zisitoke milele...

Kuna kadada flan kamemaliza Informatics chuo cha kata kila siku kalikuwa kanapiga kampeni kwenye status za WhatsApp this five years tutaheshimiana tu
Acha ujinga kama alikukataa kwa upumbavu wako acha kumsema humu.Ndio hivvyo sasa Mitano Tena
 
Tetesi ni kwamba ndani ya wiki hii ajira za ualimu zinatoka
zitatoka vikiwa zimepangwa vutuo vya kazi moja kwa moja
 
Ndivo ilivyo, mfano kwa tuliomaliza 2015 tumeshaomba km mara tatu kwa namna hiihii, yn mara zote unakosa na hkna hata rafk ako wala uliyemaliza nae unayesikia kapata ndivyo hali ilivyo hatuna jinsi nikupokea na kusonga mbele kikubwa uzima.
Walijua umeshajiajiri
 
Mitano tena.

Pum.ba.vu zenu tena hzo nafasi zisitoke milele...

Kuna kadada flan kamemaliza Informatics chuo cha kata kila siku kalikuwa kanapiga kampeni kwenye status za WhatsApp this five years tutaheshimiana tu
Bila shaka hiyo iformatics kamesomea SUA?
 
kulingana na chanzo changu cha habari za kuaminika ni kwamba, Kinachochelewesha ajira hizi mpaka sasa ni kuwaondoa walimu wa grade A ambao walikuwa wamapngiwa ajira hizi na vituo na kuwapangia walimu wa ngazi ya stashahada na shahada

Hivyo basi, walimu level ya certificate ni bora mrudi chuo au mkalime mbaazi
 
Back
Top Bottom