mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Acha Kuleta taarifa ya taharuki humu ndani.Lolote kuhusiana na hizi Ajira Mwenye majibu Sahihi ni Tamisemi mwenyewe.kulingana na chanzo changu cha habari za kuaminika ni kwamba, Kinachochelewesha ajira hizi mpaka sasa ni kuwaondoa walimu wa grade A ambao walikuwa wamapngiwa ajira hizi na vituo na kuwapangia walimu wa ngazi ya stashahada na shahada
Hivyo basi, walimu level ya certificate ni bora mrudi chuo au mkalime mbaazi
Acha Kuleta taarifa ya taharuki humu ndani.Lolote kuhusiana na hizi Ajira Mwenye majibu Sahihi ni Tamisemi mwenyewe.
Teyari Nini mkuuEndelea kutaharuka mkuu
ila ukweli ndio huo muda si mrefu chanzo changu kimenithibitishia teyari
Mbona na wewe unawadanganyaHahahahahahahaha acha kuwadanganya hawa vijana,huu mchakato bado tunaufanyia kazi.
Teyari Nini mkuu
Hahahahahahahaha acha kuwadanganya hawa vijana,huu mchakato bado tunaufanyia kazi.
Teyari chanzo changu cha uhakika kimethibitisha ninyi wa grade A ndio mliochelewesha ajira kwa walimu wenye sif
Sawa ngoza tusubiri taarifa itatoka tu Kama uko sahihi au siyo mbona rahisiTeyari chanzo changu cha uhakika kimethibitisha ninyi wa grade A ndio mliochelewesha ajira kwa walimu wenye sifa
Mkuu naona kila mtu anatoa taarifa yake so hata hujui ipi ni ya kweli, lkn serikali itatoa taarifa maswali yatakwishaUkweli ni upi kama mm nadanganya?
Wanaotoa taarifa hapa hakuna hata mmoja anayejua kinachoendelea huko tamisemi. Kinachotakiwa Ni kutulia kusubiria any time mambo yatakapokamilika watatangaza tu hata Kama Ni mwakaniMkuu naona kila mtu anatoa taarifa yake so hata hujui ipi ni ya kweli, lkn serikali itatoa taarifa maswali yatakisha
Kweli kabisaWanaotoa taarifa hapa hakuna hata mmoja anayejua kinachoendelea huko tamisemi. Kinachotakiwa Ni kutulia kusubiria any time mambo yatakapokamilika watatangaza tu hata Kama Ni mwakani
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Tunatofautiana source Ila tarifa nilizonazo toka juzi walikuwa hawajakaa, na ajira sio za kutoka mwezi huu
Hizi Ajira leo au Kesho Tamisemi Wataachia Majina tulieni.[emoji849]
Olewa itasaidia kuwa bize na mambo yako kuliko kushadadia ya wanaume wenzioAcha ujinga kama alikukataa kwa upumbavu wako acha kumsema humu.Ndio hivvyo sasa Mitano Tena
Mkuu tupe ukweli wake.Kuna watu humu ndani wanaota mchana kweupe
Mpaka nawaona hamnzo kabisa
Kama ulikuwa unapiga kazi, ni bora uendelee na shughuri zako tu
Haya mambo mkijua ukweli wake mtazimia