Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

kulingana na chanzo changu cha habari za kuaminika ni kwamba, Kinachochelewesha ajira hizi mpaka sasa ni kuwaondoa walimu wa grade A ambao walikuwa wamapngiwa ajira hizi na vituo na kuwapangia walimu wa ngazi ya stashahada na shahada

Hivyo basi, walimu level ya certificate ni bora mrudi chuo au mkalime mbaazi
Acha Kuleta taarifa ya taharuki humu ndani.Lolote kuhusiana na hizi Ajira Mwenye majibu Sahihi ni Tamisemi mwenyewe.
 
Endelea kutaharuka mkuu
ila ukweli ndio huo muda si mrefu chanzo changu kimenithibitishia teyari
Acha Kuleta taarifa ya taharuki humu ndani.Lolote kuhusiana na hizi Ajira Mwenye majibu Sahihi ni Tamisemi mwenyewe.
 
Mkuu naona kila mtu anatoa taarifa yake so hata hujui ipi ni ya kweli, lkn serikali itatoa taarifa maswali yatakisha
Wanaotoa taarifa hapa hakuna hata mmoja anayejua kinachoendelea huko tamisemi. Kinachotakiwa Ni kutulia kusubiria any time mambo yatakapokamilika watatangaza tu hata Kama Ni mwakani

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom