mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Acha Kuleta taarifa ya taharuki humu ndani.Lolote kuhusiana na hizi Ajira Mwenye majibu Sahihi ni Tamisemi mwenyewe.kulingana na chanzo changu cha habari za kuaminika ni kwamba, Kinachochelewesha ajira hizi mpaka sasa ni kuwaondoa walimu wa grade A ambao walikuwa wamapngiwa ajira hizi na vituo na kuwapangia walimu wa ngazi ya stashahada na shahada
Hivyo basi, walimu level ya certificate ni bora mrudi chuo au mkalime mbaazi