Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Wale graduates wenzangu ambao tumeamua na kuridhia ku-hustle kimpango wetu na hatuna muda wala wazo la kujiriwa tujuane.

Kiukweli, sifikilii Kama nitakuja kutuma maombi ya kuajiriwa
The Humble Dreamer liked your comment.
 
Vijana msihadaike na WAHUNI hao, miaka yote walikua wapi? Hiyo pesa ya mishahara itatoka kwenye bajeti gani? Hii ni danganya toto ili kuwapiga DANADANA hadi Uchaguzi Mkuu upite.
 
Ajira HEWA hizo, mtakuja kunikumbuka. Bajeti yake ya mishahara imepitishwa kwa Bunge lipi?
 
Weka jina la tatu ambalo lipo kwenye cheti chako cha kuzaliwa. Inaruhusiwa na kukubalika kisheria
 
System imegoma kufungua kabisa vp kwako inafunguka
Nimeona umemkoti Ndondocha pale kua English tu ndo wamependelewa nikataka nijue kama ulivyo sema Geography na kiswahili hakuna nione kama umeona
 
Habar wakuu kwahyo kwa waliosoma engineering hapo nao watafundisha secondary au vyuo vya veta na Technical school?? Mwenye uelewa tafadhari
 
Mkuu ulikuwa mang'aliza nn au godegode
Ni Ipera.
Kutoka kule kwenda Iringa (Ruaha mbuyuni) ni elfu 4 ila kwenda Dodoma mjini ni elfu 14, kwenda Mpwapwa Mjini ni elfu 8.

Ukitoka Mpwapwa kwenda huko ipera mkifika Kibakwe gari linasimamishwa mnunue chakula mle. Maana vijiji vinavyofata hakuna sehemu mnayoweza kula mpaka mnafika na safari bado ni ndefu.

Mkitoka Dodoma, gari inasimama kijiji kinaitwa Rudi ili mle. Japo hii ya dodoma sio obvious kusimama.
 
Ajira HEWA hizo, mtakuja kunikumbuka. Bajeti yake ya mishahara imepitishwa kwa Bunge lipi?
mkuu awamu hii kuna mambo yanapitishwa bungeni? rejea ununuzi wa ndege na miradi mikubwa mikubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…