Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The Humble Dreamer liked your comment.Wale graduates wenzangu ambao tumeamua na kuridhia ku-hustle kimpango wetu na hatuna muda wala wazo la kujiriwa tujuane.
Kiukweli, sifikilii Kama nitakuja kutuma maombi ya kuajiriwa
Mkuu umefungua kwenye systems English umeiona?Naona arts waliokumbukwa ni English tu
Mkuu badru kwenye system umeiona English Geography ama kiswahili?G
Geography na kiswahili hamna
System imegoma kufungua kabisa vp kwako inafungukaMkuu badru kwenye system umeiona English Geography ama kiswahili?
Ajira HEWA hizo, mtakuja kunikumbuka. Bajeti yake ya mishahara imepitishwa kwa Bunge lipi?fuatilia kampeni. lissu alishusha nyundo nzito kuhusu ajira. kufunika hilo mzee siku ya pili akatangaza ajira. watu wakamshukuru lissu. kwahiyo ujue hakuwa na mpango wa kuajiri kwasababu alichukulia kwake kampen zitakuwa mtelezo tu kwasababu ya hayo mandege aliyonunua. mambo yamekuwa magumu kwake mpaka anapaniki jukwaani. pongezi kwake lissu
Habari za muda huu wakuu,
Naomba kuuliza kama kuna mtu alishawahi fanikisha maombi ya ualimu kwenye mfumo wa TAMISEMI yaani OTEAS Kwa kutumia majina mawili pekee?
Maana mimi vyeti vyangu vya shule vyote vina majina mawili lakini mfumo unataka majina matatu ingawa kwenye cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha taifa yapo majina yote matatu
Je nikitaka kuweka jina la tatu naruhusiwa au kuna utaratibu mwingine natakiwa kufuata?
Nimeona umemkoti Ndondocha pale kua English tu ndo wamependelewa nikataka nijue kama ulivyo sema Geography na kiswahili hakuna nione kama umeonaSystem imegoma kufungua kabisa vp kwako inafunguka
Sawa bachelor wanaanzia ngap salary mwenye kufahamBachelor degree
Nenda mahakama za mwanzo mbona wapoSasa Kama mazingira unayoishi mwanasheria ni ngumu kumpata inakuwaj dada
Ila Ni vizuri kufanya hivo maana mfano utumishi usipo sign barua pale chini hauchukuliwi interview, so hyo ni tahadhari tu incase of anythingNimeuliza wakasema hawajafanya hivyo..kuna wengine walifanya na hawajapata so vice-versa is the case
Bado unateseka na Sera za kampeni?Kuna walio fanikiwa kuufungua?
Ni Ipera.Mkuu ulikuwa mang'aliza nn au godegode
mkuu awamu hii kuna mambo yanapitishwa bungeni? rejea ununuzi wa ndege na miradi mikubwa mikubwaAjira HEWA hizo, mtakuja kunikumbuka. Bajeti yake ya mishahara imepitishwa kwa Bunge lipi?
hahahahahhahahahahah yes mdau . kumbe nasikia hapo ndio kitu kinataka kufiunguka
Si unajua maputo ndani yana nini?