Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Mimi jana nilifanikiwa mpaka kufika kwenye teaching subjects. Nikaona kuna masomo ya sayansi tu. Sasa jana uck nimejaribu kufungua. Maputo yanazungunga moaka sasa hivi asubuhi. Ccm mnatutesa sana

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Bora wew ulitumia browser gan kufungua
 
Ila Ni vizuri kufanya hivo maana mfano utumishi usipo sign barua pale chini hauchukuliwi interview, so hyo ni tahadhari tu incase of anything
Utumishi wameweka ivyo vigezo ila tamisemi hawajaweka icho kigezo cha ku-certify..
 
Daa! Huu mfumo ni shida
Maputo yanazunguka weee hadi nimeanza kukata tamaa!
 
na vipi kuhusu barua unaandika kwa word then unaiweka pdf au unaandika kwa mkono kwenye karatasi the unascan??
andika in word format kwanza kisha save kwa pdf halafu ndio uwatumie!

kwanini pdf na sio word?

hii ni kupunguza makosa ya kimaandishi ambazo ukifungua katika workd maneno huwa yanajichanganya na kuharibu format

hata hivyo sidhani kama hizo barua huwa zinasomwa
 
Tuwafikishie ujumbe chadema kwamba ccm ime tangaza ajira hewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…