Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Ila Ni vizuri kufanya hivo maana mfano utumishi usipo sign barua pale chini hauchukuliwi interview, so hyo ni tahadhari tu incase of anything
Utumishi wameweka ivyo vigezo ila tamisemi hawajaweka icho kigezo cha ku-certify..
 
na vipi kuhusu barua unaandika kwa word then unaiweka pdf au unaandika kwa mkono kwenye karatasi the unascan??
andika in word format kwanza kisha save kwa pdf halafu ndio uwatumie!

kwanini pdf na sio word?

hii ni kupunguza makosa ya kimaandishi ambazo ukifungua katika workd maneno huwa yanajichanganya na kuharibu format

hata hivyo sidhani kama hizo barua huwa zinasomwa
 
Tuwafikishie ujumbe chadema kwamba ccm ime tangaza ajira hewa.
 
Back
Top Bottom