Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

nime
Kuna mahali itakua hujajaza kitu....click back ucheki in detail kila hatua km umejaza....vyeti umepandisha vyote?
Umefika mpaka kwenye submit?
fika mpaka kwenye kuchagua shule na kupakia barua but naona hakuna sehemu ya submit
 
Jamani mm nimesoma Bach ya business Administration in accounting je naweza kutuma maombi?
 
Nimetumia computer na mm watu wananitumia kaz nawafanyia mm sio mwalimu ila unatakaiwa utumie mashine yenye window 10
mimi natumia win 8.1 pro but bado mambo inasumbua sana system yao
 
Jamani mm nimesoma Bach ya business Administration in accounting je naweza kutuma maombi?
mkuu ni vema ujaribu hivo hivo huwezi jua bahati yako. hapa jf watu watakuvunja moyo tu
 
hii kitu tu au kwa wote tuliomaliza kutuma maombi ukiangalia status ya application kwenye date of birth imepungua moja badala ya tarehe 26 wao wameweka 25,
 
Mssada nimefika the last part ya kuselect region, council na schools inagoma iko domant kwenye selection
IMG-20200911-WA0000.jpeg
 
Mssada nimefika the last part ya kuselect region, council na schools inagoma iko domant kwenye selectionView attachment 1566038
Iamishie kwenye Chrome,hata mimi nilipofika hapo Mozilla ilinisumbua,nilivyohama browser nikaselect shule kirahisi kweli.
kumbuka: Ukichagua hizo shule sita ukasave hazikubali kubadilisha.
 
Iamishie kwenye Chrome,hata mimi nilipofika hapo Mozilla ilinisumbua,nilivyohama browser nikaselect shule kirahisi kweli.
kumbuka: Ukichagua hizo shule sita ukasave hazikubali kubadilisha.
Hivi barua ya kazi ni lazima uspecify kabisa kama unaomba msingi au sekondari ?
 
Iamishie kwenye Chrome,hata mimi nilipofika hapo Mozilla ilinisumbua,nilivyohama browser nikaselect shule kirahisi kweli.
kumbuka: Ukichagua hizo shule sita ukasave hazikubali kubadilisha.
Hivi atleast machaguo ni mangapi ya shule Na at most yasizdi mangspi....maana me nmechagua mikoa mitatu tu...Na imekubali fresh tu
 
Hivi atleast machaguo ni mangapi ya shule Na at most yasizdi mangspi....maana me nmechagua mikoa mitatu tu...Na imekubali fresh tu
Mimi nimeweka sita ikakubali,maana ilikuwa inanionesha sijamliza,nilivyongeza mikoa ikafika sita nikasave iakukubali,ikawa locked yaani siwezi edit tena.
 
Back
Top Bottom