Sic March
JF-Expert Member
- Mar 2, 2019
- 690
- 906
Nimetumia computer na mm watu wananitumia kaz nawafanyia mm sio mwalimu ila unatakaiwa utumie mashine yenye window 10Hongera mkuu unapatikana wapi na umetumia computer au simu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetumia computer na mm watu wananitumia kaz nawafanyia mm sio mwalimu ila unatakaiwa utumie mashine yenye window 10Hongera mkuu unapatikana wapi na umetumia computer au simu?
Na browser gan unatumia.Nimetumia computer na mm watu wananitumia kaz nawafanyia mm sio mwalimu ila unatakaiwa utumie mashine yenye window 10
fika mpaka kwenye kuchagua shule na kupakia barua but naona hakuna sehemu ya submitKuna mahali itakua hujajaza kitu....click back ucheki in detail kila hatua km umejaza....vyeti umepandisha vyote?
Umefika mpaka kwenye submit?
mimi natumia win 8.1 pro but bado mambo inasumbua sana system yaoNimetumia computer na mm watu wananitumia kaz nawafanyia mm sio mwalimu ila unatakaiwa utumie mashine yenye window 10
mkuu ni vema ujaribu hivo hivo huwezi jua bahati yako. hapa jf watu watakuvunja moyo tuJamani mm nimesoma Bach ya business Administration in accounting je naweza kutuma maombi?
Nimefanikisha kuapply Ila nazani shida kubwa ni mtandao ,upo slow sana, website inazidiwaUnaandika jina la chuo mwenyewe Mkuu.pia jina la kozi uliyosoma unaliandika mwenyewe...
Iamishie kwenye Chrome,hata mimi nilipofika hapo Mozilla ilinisumbua,nilivyohama browser nikaselect shule kirahisi kweli.Mssada nimefika the last part ya kuselect region, council na schools inagoma iko domant kwenye selectionView attachment 1566038
Hivi barua ya kazi ni lazima uspecify kabisa kama unaomba msingi au sekondari ?Iamishie kwenye Chrome,hata mimi nilipofika hapo Mozilla ilinisumbua,nilivyohama browser nikaselect shule kirahisi kweli.
kumbuka: Ukichagua hizo shule sita ukasave hazikubali kubadilisha.
Tofauti ya simu na pc ni ipi kwenye ku access hiyo page ?Itabidi nitafute PC week end hii nifanye hii kazi usiku saa 6 -10. Nitakuwa nimemaliza.
Rudi nyuma "back" then gonga next kurudi hapo ulipokwamia. Ni network tu means haijaload sawasawa hivo vitu...Mssada nimefika the last part ya kuselect region, council na schools inagoma iko domant kwenye selectionView attachment 1566038
Hivi atleast machaguo ni mangapi ya shule Na at most yasizdi mangspi....maana me nmechagua mikoa mitatu tu...Na imekubali fresh tuIamishie kwenye Chrome,hata mimi nilipofika hapo Mozilla ilinisumbua,nilivyohama browser nikaselect shule kirahisi kweli.
kumbuka: Ukichagua hizo shule sita ukasave hazikubali kubadilisha.
Mimi nimeweka sita ikakubali,maana ilikuwa inanionesha sijamliza,nilivyongeza mikoa ikafika sita nikasave iakukubali,ikawa locked yaani siwezi edit tena.Hivi atleast machaguo ni mangapi ya shule Na at most yasizdi mangspi....maana me nmechagua mikoa mitatu tu...Na imekubali fresh tu
Mimi nimepiga miguu yote,yaani ninaweza kufanya kazi msingi na secondary.Hivi barua ya kazi ni lazima uspecify kabisa kama unaomba msingi au sekondari ?
Poa mkuu,nina pc window 10 ngoja nianze mchakatoNimetumia computer na mm watu wananitumia kaz nawafanyia mm sio mwalimu ila unatakaiwa utumie mashine yenye window 10